Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Baada ya IGP na viongozi wa Tanzania kufahamu uwepo wa Mabalozi na maofisa wa EU na UN wakaamua kuweka mpira kwapani kwa kusingizia ubovu wa gari , huku magari ya kusomba wafuasi wa chadema na yale ya washawasha yakiwa mazimaJe walisemaje walipoambiwa haletwi Leo mahakamani kwa sababu magari ni mabovu?
😅😅Hayo si maandamano aliokataza IGP Sirro? Mbona vijana wa IGP Sirro wamejikausha hawaja wakamata sasa?
Alafu tunajiuliza kwa nini Tz ni maskiniKipindi cha jk kesi kubwa ubakaji !
Kipindi cha magufuli kesi kubwa hujumu uchumi !
Kipindi cha SSH kesi kubwa sasa ugaidi !
Hii nchi bwana
Mabeberu wamekusaidia haya..Hao mabeberu mnadhani watawasaidia?. Nyumbu mna matatizo Sana.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani , ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea , Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi

Duh! I can see the strong ones having their eyes open and their ears on the ground monitoring the entire movie.Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani , ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea , Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi
Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa .Hii inaitwa miscalculation. Walivyombambika kesi walidhani wameshinda, kumbe walimeza kasa, sasa kumtaapika ndio imekuwa kasheshe.
Kutuhumiwa na kufikishwa mahakamani yote ni michakato ya kutimiza sheria
Hao wazungu wamekuja kuona kama haki inaonekana inatendeka katika michakato hiyo,hawana uwezo wowote wa kubadili mashitaka
Wekeni nguvu katika kupangua mashitaka kisheria