Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Hayo si maandamano aliokataza IGP Sirro??? Mbona vijana wa IGP Sirro wamejikausha hawaja wakamata sasa wala kuwatawanyisha na mabomu ya machozi???

Halafu utakuta hata huyo huyo IGP Sirro ametoa mpaka escort ya police na ulinzi kwa wahusika wa haya maandamano. Aibu ilioje hii.

Ama kweli wahenga walisema "Debe lililo tupu, ndio lenye kelele zaidi". Kelele zote, Vitisho Vyote, Vitimbi Vyote, Uonevu Wote na Kutunishiwa misuli wanafanyiwa wanyonge wasio jiweza na wasio na nguvu ya kujitetea tu nchi hii.
Wawe na consistency tu ya kuhudhuria ndio kwanza ngoma mbichi...kesi ya kabsjuno walikuja mara moja tu wakasepa.
 
Nchi hii vichekesho sana. Mnanunua mindege inaozea aiport kwa kukosa abiria afu mnakosa gari la kumpeleka gaidi mahakamani?

Mnataka gaidi awalipue wafungwa wetu?
Madege alinunua jpm..11 hadi yote yawe delivered ndo watz tutapumua
 
Mabeberu wamekusaidia haya..

1. Chanjo ya korona. Kama sio wao wewe na mchepuko wako msinge chanjwa.

2. Barabara

3. Reli.

5. Stigla goji

6. Misaada ya elimu..

7. Ujenzi wa vyoo mashuleni baada ya kuona serikali ya ccm haina uwezo.

8. Bajeti ya serikali inawategemea mabeberu.

9. Buku 7 mnazo lipwa pale lumumba zimetoka kwao..

10. Nk nk nk...
Umesahau na ARVs anazomeza huyo mzembe
 
Halafu wanaambiwa Mbowe hajafikishwa mahakamani kwa sababu hakuna gari la kumpeleka huko, naamini kuanzia hapo hao maofisa wataona hii serikali yetu ina matatizo kichwani, haiwezekani Sabaya kila siku anapelekwa mahakamani halafu Mbowe wa kila baada ya wiki anakosa gari.
Hiyo Tarehe 27 ataletwa lakini mpango ni kuhakikisha Hakimu anaumwa
 
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani , ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea , Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .

Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi

🤣🤣🤣🤣🤣
Bavicha wamepatwa na mhaho wanahahaa...
 
Ishu ya ugaidi kumuamini siro ni ngumu Sana tangu ishu ile ya kuokota dereva taxi mchovu mvaa kandambili eti ndo amemteka No ngumu Sana kumuamini huyu mzee.
😆😆😆
 
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani , ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea , Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .

Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi

Uongo hapo Ni uwanja wa ndege ulioko Senegal walikuwa ndio wanaelekea kupanda ndege abiria

Mumeanza kuchakachua picha Kama kipindi Cha Lisu

Mahakamani watu huwa wanaenda na masanduku hayo ya kuburuza ya vigurudumu?

Chadema mumebobea uongo

Picha tells it all
 
Eti kesi ya ugaidi inayomkabili mula Omar balozi wa marekani nchini Afghanistan ahudhurie!!!
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom