Mwenye akili yeyote atajitafakari. Na ikitokea hii kesi ikafutwa, itakuwa aibu kubwa kwa Mkuu wa Nchi. Ingebaki kuwa aibu kwa IGP na Polisi wake, lkn yale mahojiano ya BBC yamehamishia fedheha hii upande wa juu zaidi.Hiyo kesi inakwenda kufutwa. Kitendo cha hao wadau wa maendeleo kwenda mahakamani leo ilikuwa sawa na kutuma ujumbe Serikalini kwamba hawapo na Serikali bali wapo na Mbowe...
Boss hachezewi sharubu..la sivyo meko haitafuka moshi na njia ya chooni itaota nyasiHayo si maandamano aliokataza IGP Sirro? Mbona vijana wa IGP Sirro wamejikausha hawaja wakamata sasa wala kuwatawanyisha na mabomu ya machozi?...
Wewe ni mee or kee maana nakushangaa hujitambui.Empty headed kijani
Mshana hata wewe unashindwa kumuona mbowe kuwa ni kibaraka wa serikali na yupo kazini?Mwenye akili yeyote atajitafakari. Na ikitokea hii kesi ikafutwa, itakuwa aibu kubwa kwa Mkuu wa Nchi. Ingebaki kuwa aibu kwa IGP na Polisi wake, lkn yale mahojiano ya BBC yamehamishia fedheha hii upande wa juu zaidi.
Lkn ni heri nusu shari kuliko shari kamili. Kesi itafutwa, IGP ataondoka. Maisha yanaweza kuanza upya.
Uwezekano wa Warioba kuitwa kazini upo wazi.. ikishindikana, itakuja kuwezekana tukiwa tumechelewa.[emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1548]
Huna lolote !Mshana hata wewe unashindwa kumuona mbowe kuwa ni kibaraka wa serikali na yupo kazini?
Sisemi mengi!!!!!
Kuna mambo muda ukifika Huwa hayazuiliki na ukijitahidi kuyazuia basi madhara ni makubwa Sana kwako,swala la katiba mpya ni muda wake na atakae zuia ataumia yeye na ni lazima ipatikane.Hiyo kesi inakwenda kufutwa. Kitendo cha hao wadau wa maendeleo kwenda mahakamani leo ilikuwa sawa na kutuma ujumbe Serikalini kwamba hawapo na Serikali bali wapo na Mbowe.
Mwenye akili yeyote atajitafakari. Na ikitokea hii kesi ikafutwa, itakuwa aibu kubwa kwa Mkuu wa Nchi. Ingebaki kuwa aibu kwa IGP na Polisi wake, lkn yale mahojiano ya BBC yamehamishia fedheha hii upande wa juu zaidi.
Lkn ni heri nusu shari kuliko shari kamili. Kesi itafutwa, IGP ataondoka. Maisha yanaweza kuanza upya.
Uwezekano wa Warioba kuitwa kazini upo wazi.. ikishindikana, itakuja kuwezekana tukiwa tumechelewa.
Nashauri Chama changu kitumie HEKIMA YA MWALIMU NYERERE MIAKA ILE YA 90!
Amelifunga mwenye kumiliki unalaani nini hapo utakuwa chizi.Hivi Marekani imeshalaani kufungiwa Kwa gazeti la juzi?
Mkuu naona una % kubwa na imani naye huyo mama yenu ama mama yetu?Askofu hawezi CCM tena, Kesha asi! Hapa atarudi Mama yenu!
CCM AWAMU YA SITA ITACHANIKA MSAMBA KWA KUIGIZA YA JOHN MAGUFULI
CCM ya mwendazake hayati John Pombe Joseph Magufuli, ilianza kwa staili ya kutumbua, kujenga miradi ya maendeleo ya Vitu kama barabara, flyovers, SGR Reli Mpya kabla ya kuwageukia vikali wapinzani na mkakati wa propaganda kuwa anajenga uchumi na kuwapiga vita vibaraka na wasiotaka maendeleo ukafanikiwa kuwapumbaza na kuwalaghai wengi ndani ya nchi na nje pia.
Awama ya 6 ya CCM ya Mh. Rais Samia Suluhu haina chochote walichotumia kuwapumbaza wananchi 'wanyonge' wala wadau wa maendeleo na awamu ya 6 inataka kumuigiza John Magufuli bila kutumia kwanza ndoano za kisiasa na afueni ya maisha kwa wanyonge, hapo wamefeli sana kwa kukurupuka "kuwashughulikia' wapinzani bila kitu cha kuwashawishi watu kuwa wanajenga uchumi mpya na maendeleo ya Vitu au Maendeleo ya Watu ambayo watu watapumbazika kwa ujinga kuwa naaam awamu ya 6 nayo inafanya kitu kinachowagusa.
Awamu ijayo itakuwa na kesi ya uhaini(treason).Kipindi cha jk kesi kubwa ubakaji !
Kipindi cha magufuli kesi kubwa hujumu uchumi !
Kipindi cha SSH kesi kubwa sasa ugaidi !
Hii nchi bwana
Haujiulizi kwanini hawajahudhuria kesi ya Sabaya?Kutuhumiwa na kufikishwa mahakamani yote ni michakato ya kutimiza sheria
Hao wazungu wamekuja kuona kama haki inaonekana inatendeka katika michakato hiyo,hawana uwezo wowote wa kubadili mashitaka
Wekeni nguvu katika kupangua mashitaka kisheria
Hakainde Hichilema (born 4 June 1962) is a Zambian businessman and politician who has been President of the United Party for National Development, an opposition political party, since 2006.
Wapeleke umbea wao huko. Mwisho wake waseme kesi haikua na kiwango mradi kutunyanyasa na sisi ni nchi huru. Tunajua wanafadhili chadema na kuwapangia agenda kuitoa nchi kwenye reli kuhusu maendeleo.Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo.
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao, maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi.
Umeandika kimasikini sanaWapeleke umbea wao huko. Mwisho wake waseme kesi haikua na kiwango mradi kutunyanyasa na sisi ni nchi huru. Tunajua wanafadhili chadema na kuwapangia agenda kuitoa nchi kwenye reli kuhusu maendeleo.
Ndio hapo mtajua hamjuiKutuhumiwa na kufikishwa mahakamani yote ni michakato ya kutimiza sheria
Hao wazungu wamekuja kuona kama haki inaonekana inatendeka katika michakato hiyo,hawana uwezo wowote wa kubadili mashitaka
Wekeni nguvu katika kupangua mashitaka kisheria
Mlivyo bambikia mlijua yataisha kimyakimya😂Wapeleke umbea wao huko. Mwisho wake waseme kesi haikua na kiwango mradi kutunyanyasa na sisi ni nchi huru. Tunajua wanafadhili chadema na kuwapangia agenda kuitoa nchi kwenye reli kuhusu maendeleo.
Baada ya IGP na viongozi wa Tanzania kufahamu uwepo wa Mabalozi na maofisa wa EU na UN wakaamua kuweka mpira kwapani kwa kusingizia ubovu wa gari , huku magari ya kusomba wafuasi wa chadema na yale ya washawasha yakiwa mazima
Mungu anayajua yote na akaweka utaratibu.Watu weupe wamekuwa ndio kimbilio la weusi na waarabu wanaoteswa na ndugu zao.
Hii dunia Ingekuwa ni mwafrika na mwarabu pekee hakika isingekalika.
Mwafrika roho mbaya mwarabu katili.