Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Hiyo kesi inakwenda kufutwa. Kitendo cha hao wadau wa maendeleo kwenda mahakamani leo ilikuwa sawa na kutuma ujumbe Serikalini kwamba hawapo na Serikali bali wapo na Mbowe...
Mwenye akili yeyote atajitafakari. Na ikitokea hii kesi ikafutwa, itakuwa aibu kubwa kwa Mkuu wa Nchi. Ingebaki kuwa aibu kwa IGP na Polisi wake, lkn yale mahojiano ya BBC yamehamishia fedheha hii upande wa juu zaidi.

Lkn ni heri nusu shari kuliko shari kamili. Kesi itafutwa, IGP ataondoka. Maisha yanaweza kuanza upya.

Uwezekano wa Warioba kuitwa kazini upo wazi.. ikishindikana, itakuja kuwezekana tukiwa tumechelewa.[emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1548]
 
Empty headed kijani
Wewe ni mee or kee maana nakushangaa hujitambui.

Hivi kwa mtu mwenye akili zake anaweza kumtenganisha mbowe na serikali?

Mnaingizwa cha kike mnakubsri kicha mnasahau matatizo mliyokuwa nayo
 
Mwenye akili yeyote atajitafakari. Na ikitokea hii kesi ikafutwa, itakuwa aibu kubwa kwa Mkuu wa Nchi. Ingebaki kuwa aibu kwa IGP na Polisi wake, lkn yale mahojiano ya BBC yamehamishia fedheha hii upande wa juu zaidi.

Lkn ni heri nusu shari kuliko shari kamili. Kesi itafutwa, IGP ataondoka. Maisha yanaweza kuanza upya.

Uwezekano wa Warioba kuitwa kazini upo wazi.. ikishindikana, itakuja kuwezekana tukiwa tumechelewa.[emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1548]
Mshana hata wewe unashindwa kumuona mbowe kuwa ni kibaraka wa serikali na yupo kazini?

Sisemi mengi!!!!!
 
Hiyo kesi inakwenda kufutwa. Kitendo cha hao wadau wa maendeleo kwenda mahakamani leo ilikuwa sawa na kutuma ujumbe Serikalini kwamba hawapo na Serikali bali wapo na Mbowe.

Mwenye akili yeyote atajitafakari. Na ikitokea hii kesi ikafutwa, itakuwa aibu kubwa kwa Mkuu wa Nchi. Ingebaki kuwa aibu kwa IGP na Polisi wake, lkn yale mahojiano ya BBC yamehamishia fedheha hii upande wa juu zaidi.

Lkn ni heri nusu shari kuliko shari kamili. Kesi itafutwa, IGP ataondoka. Maisha yanaweza kuanza upya.

Uwezekano wa Warioba kuitwa kazini upo wazi.. ikishindikana, itakuja kuwezekana tukiwa tumechelewa.

Nashauri Chama changu kitumie HEKIMA YA MWALIMU NYERERE MIAKA ILE YA 90!
Kuna mambo muda ukifika Huwa hayazuiliki na ukijitahidi kuyazuia basi madhara ni makubwa Sana kwako,swala la katiba mpya ni muda wake na atakae zuia ataumia yeye na ni lazima ipatikane.
 
CCM AWAMU YA SITA ITACHANIKA MSAMBA KWA KUIGIZA YA JOHN MAGUFULI
CCM ya mwendazake hayati John Pombe Joseph Magufuli, ilianza kwa staili ya kutumbua, kujenga miradi ya maendeleo ya Vitu kama barabara, flyovers, SGR Reli Mpya kabla ya kuwageukia vikali wapinzani na mkakati wa propaganda kuwa anajenga uchumi na kuwapiga vita vibaraka na wasiotaka maendeleo ukafanikiwa kuwapumbaza na kuwalaghai wengi ndani ya nchi na nje pia.

Awama ya 6 ya CCM ya Mh. Rais Samia Suluhu haina chochote walichotumia kuwapumbaza wananchi 'wanyonge' wala wadau wa maendeleo na awamu ya 6 inataka kumuigiza John Magufuli bila kutumia kwanza ndoano za kisiasa na afueni ya maisha kwa wanyonge, hapo wamefeli sana kwa kukurupuka "kuwashughulikia' wapinzani bila kitu cha kuwashawishi watu kuwa wanajenga uchumi mpya na maendeleo ya Vitu au Maendeleo ya Watu ambayo watu watapumbazika kwa ujinga kuwa naaam awamu ya 6 nayo inafanya kitu kinachowagusa.

13 Agosti 2021

Jenerali Ulimwengu : Samia haijui nchi, amefanya makosa makubwa

Jenerali Ulimwengu : Rais Samia Suluhu Haijui Nchi, Anafanya Makosa Makubwa Sana Asaidiwe, Magufuli Alijiona MUNGU

Source: mubashara studio
 
Kipindi cha jk kesi kubwa ubakaji !
Kipindi cha magufuli kesi kubwa hujumu uchumi !
Kipindi cha SSH kesi kubwa sasa ugaidi !

Hii nchi bwana
Awamu ijayo itakuwa na kesi ya uhaini(treason).
Mdogo mdogo tutafika tu.
 
Kutuhumiwa na kufikishwa mahakamani yote ni michakato ya kutimiza sheria
Hao wazungu wamekuja kuona kama haki inaonekana inatendeka katika michakato hiyo,hawana uwezo wowote wa kubadili mashitaka
Wekeni nguvu katika kupangua mashitaka kisheria
Haujiulizi kwanini hawajahudhuria kesi ya Sabaya?
 
History
Hakainde Hichilema (born 4 June 1962) is a Zambian businessman and politician who has been President of the United Party for National Development, an opposition political party, since 2006.

Hakainde Hichilema's arrest was widely condemned. The United States,[23] the European Union[24] and the European Parliament[25] denounced the arrest. The Africa Liberal Network condemned the arrest as an attempt by President Lungu to silence dissent and opposition.[26] The Catholic bishops strongly condemned the arrest and said Zambia had become a dictatorship under President Edgar Lungu.[27] Julius Malema, the leader of South Africa's EFF party, accused Zambia's president Edgar Lungu of apartheid style repression for detaining Hichilema on treason charges[12] and called president Lungu a “Coward”.[28] Mmusi Maimane, the leader of South Africa's DA party, who was denied entry into Zambia to visit Hichilema in Jail[29] (stopped from exiting the plane at Lusaka's Kenneth Kaunda International Airport) strongly denounced the trumped up charges against Hichilema.[30]

Time in jail​

Hichilema said in an interview on HARDtalk that during his time in prison he was held in solitary confinement for 8 days without food, water, light or visitation, was tortured by having his private parts pepper sprayed and accused president Lungu of having tried to kill him.[31]

His wife Mutinta was turned away by prison officials when she took food for him.

Hichilema's arrest was the subject of the episode of Al Jazeera's The Stream TV program titled Is Zambia's democracy in danger[32] which aired on 30 May 2017.

High-profile jail visitations​

Zambia's first president Kenneth Kaunda was turned away by prison officials when he visited Hichilema in Prison.[33]

Mmusi Maimane, leader of the Democratic Alliance (South Africa) was also turned away by Zambia Police when he came to Zambia to attend Hichilema's court appearance, he was not allowed to disembark from the plane, had his phone confiscated and was roughed up.[29] This prompted South Africa's Foreign Ministry to summon Zambia's Ambassador to South Africa Emmanuel Mwamba to explain the actions of the Zambian regime.

Former President of Nigeria, Olusegun Obasanjo visited Hichilema in Prison.[34]

Secretary General of the Commonwealth, Baroness Patricia Scotland visited Hichilema in Prison twice.[35]

2017
BBC World News Hardtalk Interview With Hakainde Hichilema.
 
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo.

Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao, maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi.

Wapeleke umbea wao huko. Mwisho wake waseme kesi haikua na kiwango mradi kutunyanyasa na sisi ni nchi huru. Tunajua wanafadhili chadema na kuwapangia agenda kuitoa nchi kwenye reli kuhusu maendeleo.
 
Wapeleke umbea wao huko. Mwisho wake waseme kesi haikua na kiwango mradi kutunyanyasa na sisi ni nchi huru. Tunajua wanafadhili chadema na kuwapangia agenda kuitoa nchi kwenye reli kuhusu maendeleo.
Umeandika kimasikini sana
 
Kutuhumiwa na kufikishwa mahakamani yote ni michakato ya kutimiza sheria
Hao wazungu wamekuja kuona kama haki inaonekana inatendeka katika michakato hiyo,hawana uwezo wowote wa kubadili mashitaka
Wekeni nguvu katika kupangua mashitaka kisheria
Ndio hapo mtajua hamjui
 
Wapeleke umbea wao huko. Mwisho wake waseme kesi haikua na kiwango mradi kutunyanyasa na sisi ni nchi huru. Tunajua wanafadhili chadema na kuwapangia agenda kuitoa nchi kwenye reli kuhusu maendeleo.
Mlivyo bambikia mlijua yataisha kimyakimya😂
 
Baada ya IGP na viongozi wa Tanzania kufahamu uwepo wa Mabalozi na maofisa wa EU na UN wakaamua kuweka mpira kwapani kwa kusingizia ubovu wa gari , huku magari ya kusomba wafuasi wa chadema na yale ya washawasha yakiwa mazima
Watu weupe wamekuwa ndio kimbilio la weusi na waarabu wanaoteswa na ndugu zao.
Hii dunia Ingekuwa ni mwafrika na mwarabu pekee hakika isingekalika.
Mwafrika roho mbaya mwarabu katili.
Mungu anayajua yote na akaweka utaratibu.
 
Back
Top Bottom