NaweKwa hiyo?
Halafu?NDIO
Ligaidi linaendelea kusota.Nawe
Utafikiri beberu amenufaikaje kwa misaada hiyo hapo juu uliyoiorodheaha ?Mabeberu wamekusaidia haya..
1. Chanjo ya korona. Kama sio wao wewe na mchepuko wako msinge chanjwa.
2. Barabara
3. Reli.
5. Stigla goji
6. Misaada ya elimu..
7. Ujenzi wa vyoo mashuleni baada ya kuona serikali ya ccm haina uwezo.
8. Bajeti ya serikali inawategemea mabeberu.
9. Buku 7 mnazo lipwa pale lumumba zimetoka kwao..
10. Nk nk nk...
Hata Tozo zimeletwa na wanasiasaMkuu Sisi wengine Acha tupambane na tozo hizi siasa zina wenyewe
Sosho imetema huku leo mkuu. Wasonjo 'wasomali' na wengine wanayoitegemea full furaha. Ikifika jmanne wiki ijayo full huzuni. Leo security guards kwenye CCTV supermarket wanarelax shoplifters wachacheHalafu?
JK alikuwa anabambikia watu kesi za ubakaji kwa sababu alikuwa hataki wanaume wenzake washindane naye kwenye starehe ya 6 X 6, jamaa alikuwa mchoyo sana kwa mademu, alitaka kila demu amle yeye tu.Kipindi cha jk kesi kubwa ubakaji !
Kipindi cha magufuli kesi kubwa hujumu uchumi !
Kipindi cha SSH kesi kubwa sasa ugaidi !
Hii nchi bwana
Ni aibuHiyo kesi inakwenda kufutwa. Kitendo cha hao wadau wa maendeleo kwenda mahakamani leo ilikuwa sawa na kutuma ujumbe Serikalini kwamba hawapo na Serikali bali wapo na Mbowe.
Mwenye akili yeyote atajitafakari. Na ikitokea hii kesi ikafutwa, itakuwa aibu kubwa kwa Mkuu wa Nchi. Ingebaki kuwa aibu kwa IGP na Polisi wake, lkn yale mahojiano ya BBC yamehamishia fedheha hii upande wa juu zaidi.
Lkn ni heri nusu shari kuliko shari kamili. Kesi itafutwa, IGP ataondoka. Maisha yanaweza kuanza upya.
Uwezekano wa Warioba kuitwa kazini upo wazi.. ikishindikana, itakuja kuwezekana tukiwa tumechelewa.
Nashauri Chama changu kitumie HEKIMA YA MWALIMU NYERERE MIAKA ILE YA 90!
Ndiyo furaha yako na ndio furaha yanu na ndiyo sera yenu kwa sasa.Ligaidi linaendelea kusota.
Empty headed....Hao mabeberu mnadhani watawasaidia? Mna matatizo Sana.
Kusingizia magari mabovu ni dalili ya kesi kuwa ya kisiasaHivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo.
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao, maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi.
Ligaidi.Ndiyo furaha yako na ndio furaha yanu na ndiyo sera yenu kwa sasa.
Ahaa, kumbe ndio maana unakenua meno.Sosho imetema huku leo mkuu...
Hiyo haina shida. Chama kinao manguli wa sheria wengi, na bado vyama vingine pinzani vimeongeza nguvu. Watu wameshajipanga kwa hilo.Kutuhumiwa na kufikishwa mahakamani yote ni michakato ya kutimiza sheria
Hao wazungu wamekuja kuona kama haki inaonekana inatendeka katika michakato hiyo,hawana uwezo wowote wa kubadili mashitaka
Wekeni nguvu katika kupangua mashitaka kisheria