Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Hii kesi ya Mbowe ilifaa ihamishiwe GuantanamoBay maaana kuna watu wanaleta mchezo kwenye hii kesi!
Marekani ndio wanauzoefu wa kudili na kesi hizi.
kwanza Gaidi anapumzishwa gerezani miaka 10 kisha ndio kesiiIndia kusikilizwa.
hapa kwetu unakuta Gaidi anakumbatiana na jamaa zake mahakamani!! ajabu sana!!
sasa hapa kwetu naona kama bado hatujajua kudili na hizi kesi au hawajiamini!!
vyombo vyetu lazima vijiamini visikubali kuyumbishwa na chochote kile.
 
Mabeberu wamekusaidia haya..

1. Chanjo ya korona. Kama sio wao wewe na mchepuko wako msinge chanjwa.

2. Barabara

3. Reli.

5. Stigla goji

6. Misaada ya elimu..

7. Ujenzi wa vyoo mashuleni baada ya kuona serikali ya ccm haina uwezo.

8. Bajeti ya serikali inawategemea mabeberu.

9. Buku 7 mnazo lipwa pale lumumba zimetoka kwao..

10. Nk nk nk...
Utafikiri beberu amenufaikaje kwa misaada hiyo hapo juu uliyoiorodheaha ?

Unafahamu msingi mkuu wa mabeberu wote duniani?
 
Kipindi cha jk kesi kubwa ubakaji !
Kipindi cha magufuli kesi kubwa hujumu uchumi !
Kipindi cha SSH kesi kubwa sasa ugaidi !

Hii nchi bwana
JK alikuwa anabambikia watu kesi za ubakaji kwa sababu alikuwa hataki wanaume wenzake washindane naye kwenye starehe ya 6 X 6, jamaa alikuwa mchoyo sana kwa mademu, alitaka kila demu amle yeye tu.
 
Hiyo kesi inakwenda kufutwa. Kitendo cha hao wadau wa maendeleo kwenda mahakamani leo ilikuwa sawa na kutuma ujumbe Serikalini kwamba hawapo na Serikali bali wapo na Mbowe.

Mwenye akili yeyote atajitafakari. Na ikitokea hii kesi ikafutwa, itakuwa aibu kubwa kwa Mkuu wa Nchi. Ingebaki kuwa aibu kwa IGP na Polisi wake, lkn yale mahojiano ya BBC yamehamishia fedheha hii upande wa juu zaidi.

Lkn ni heri nusu shari kuliko shari kamili. Kesi itafutwa, IGP ataondoka. Maisha yanaweza kuanza upya.

Uwezekano wa Warioba kuitwa kazini upo wazi.. ikishindikana, itakuja kuwezekana tukiwa tumechelewa.

Nashauri Chama changu kitumie HEKIMA YA MWALIMU NYERERE MIAKA ILE YA 90!
Ni aibu
 
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo.

Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao, maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi.

Kusingizia magari mabovu ni dalili ya kesi kuwa ya kisiasa
 
Kutuhumiwa na kufikishwa mahakamani yote ni michakato ya kutimiza sheria
Hao wazungu wamekuja kuona kama haki inaonekana inatendeka katika michakato hiyo,hawana uwezo wowote wa kubadili mashitaka
Wekeni nguvu katika kupangua mashitaka kisheria
Hiyo haina shida. Chama kinao manguli wa sheria wengi, na bado vyama vingine pinzani vimeongeza nguvu. Watu wameshajipanga kwa hilo.
 
Back
Top Bottom