Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Mie bado nashangaa!kweli jela ni sehemu ya maskini!
Kutoka kesi ya "uhujumu uchumi" mpaka kesi ya "forgery" mpaka kupewa faini ya shilingi laki tano. Huu Mhimili upo "vizuri". Hongera kwake Malinzi
Nipo hapa!duhAliyeona fain laki (5) au kifungo mwaka mmoja tuungane jaman....
Sasa mkuu kwanini unapotosha watu mkuu?Oooh! Asante kwa ufafanuzi mkuu
Simpendi Malinzi maana alituangusha sana sisi tuliompeleka TFF , lakini kesi hii kwa 98% ilikuwa ya kutengeneza , nampongeza kwa kugoma kukiri kosa hewa ili aachiweBasi hao mawakili wa serekali walikurupuka kama wameshindwa kuthibitisha kosa ya kwamba Jamal ametakatisha dola laki tatu.....
noma sana....
Huu ni uhuni tu. Mtu anatakiwa kulipa faini ya laki tano baada ya kukutwa na kosa la utakatishaji fedha? Au Mimi ndio sielewi hapa?aisee
tuache sheria ifanye kazi maana DPP anaweza kuwa kahusika hapo.Huu ni uhuni tu. Mtu anatakiwa kulipa faini ya laki tano baada ya kukutwa na kosa la utakatishaji fedha? Au Mimi ndio sielewi hapa?
Tiba
Nafaidika kwavile itaogopesha wengine kuiba!