Kisutu: Mahakama imewatia hatiani aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake Mwesigwa, watakiwa kulipa laki 5 au kifungo cha mwaka1

Kisutu: Mahakama imewatia hatiani aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake Mwesigwa, watakiwa kulipa laki 5 au kifungo cha mwaka1

Basi hao mawakili wa serekali walikurupuka kama wameshindwa kuthibitisha kosa ya kwamba Jamal ametakatisha dola laki tatu.....
noma sana....
Simpendi Malinzi maana alituangusha sana sisi tuliompeleka TFF , lakini kesi hii kwa 98% ilikuwa ya kutengeneza , nampongeza kwa kugoma kukiri kosa hewa ili aachiwe
 
Back
Top Bottom