Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
kweli kabisa...Mabingwa wa kushauri wanawake masuala ya mahusiano uwa ni wale walioshindwa ya kwao hasa ndoa zao zilivunjika.
Chunguza utaona
Siku moja nililalamika hapa kuhusu mama zenu ambavyo baadala ya kuwajenga wanawapoteza hasa likija suala la mume/mpenzi wako. Hayo mafollower watasaidia nini miaka 20 ijayo. Hapo ni kuishi leo baadala ya kufikiri miaka 40 ijayo yake na mtoto. Kula na kipofu ni jambo la muhimu kwenu michepuko yetu. Ona zari anavyochanga karata yake. Umri na uzoefu muhimu katika maisha ndo maana binti mdogo 20 years huwezi kupambana na shangingi la miaka 50 kijana akiwa 20 years
Nasikia Hamisa ameshauriwa acheze bikoHuyo da mange bana ishu za watu anajifanya yupo nazo deep, nilicheka anavomwambia hamisa eti akusanye documents za show za diamond, akusanye documents za kipato , ushahidi wa bank apeleke mahakamani .
Wakati yeye mzungu alivoenda mahakamani kupunguza child support kalikua kadogo kalihaha kanauliza huko instagram guys nifanye nini ili nitengeneze kipato mzungu kasema child support ni kubwa nami natakiwa nichangie, ndo kakapata idea ya kufungua app yake ambayo sijui kama bado ipo.
Sasa nae kwanini asingekusanya documents za mzungu apeleke mahakamani adai hela ndefu kwa mzungu, ila ndo kwanza ikapunguzwa da mange ni fyatu
Acheze zote tu na tatu mzuka kabla prince dully hajaanza kuvaa bambino, mil tano zimeyeyukaNasikia Hamisa ameshauriwa acheze biko
Ubahili wake upo kwenye nini labdaPesa za safari zinatoka kwenye mfuko wa wasafi..
Narudia Domo ni bahili kinoma
Acha mambo ya kusikia dada,umpe hela yako wema akaitapanye?Mi nakwambia kipindi Wema karudiana na Domo nilikuwa naishi Sinza mori pale karibu na Meeda, Domo alikuwa anapanga mitaa hiyo..
Sasa mama ubaya akilewa anasimulia jinsi Domo bahili a.k.a mchumi [emoji23] hatoi hata mia labda kugegedwa tu, akanyoa hadi kipara, kuvaa madera nahisi unakumbuka?!
Huyo Hamisa namuonea huruma kushindana na Zari, kuna mtu wasafi hapa kitaa karopoka kuwa zari huwa anajihudumia kwa asilimia kubwa, na hata hii safari ya UK kajilipia nauli[emoji144] [emoji144]
Sasa bibie Hamisa kwenda court kutaka ulipwe 5m na Domo...akili itakukaa sawa mwaka huu
Hizi habari wanazitengeza kina Hamisa,sasa ndio wataona ubahili wa diamond baada ya majizo kuchukua mtoto wakeUbahili wake upo kwenye nini labda
Penny alinunuliwa gari
Wema alinunuliwa gari
Hamisa kanunuliwa gari
Watoto wa zari wamenunuliwa Nyumba south
Huo ubahili ni upi sasa
Hata mi nashangaa huo ubahili ni upi wakati madem zake wanapewa MagariAcha mambo ya kusikia dada,umpe hela yako wema akaitapanye?
Si ni wema aliepewa zawadi ya murano wakati wa birthday yake?au iliokotwa?
Si ni hamisa,kudungwa mimba tu kanunuliwa Rav4 ya milioni 20,au iliokotwa?
Diamond alishasema akifika anahonga hata milioni 30,endeleeni kujipa moyo kuwa zari kajigharamia safari ya UK
nasikia dish limeyumba?Acheze zote tu na tatu mzuka kabla prince dully hajaanza kuvaa bambino, mil tano zimeyeyuka
Hela za photoshoot zitakua za tabu sasaHizi habari wanazitengeza kina Hamisa,sasa ndio wataona ubahili wa diamond baada ya majizo kuchukua mtoto wake
Ha ha ha malaria imepanda kichwani, akirecover fresh amcheki Dr Lui new billionaire in townnasikia dish limeyumba?
Kashauriwa apunguze mitandao,picha za uk zilimpa stress ya ajabu kabisaHela za photoshoot zitakua za tabu sasa
Apambane tu si alichagua kufichwa kama makalioKashauriwa apunguze mitandao,picha za uk zilimpa stress ya ajabu kabisa
Huo mfuko wa wasafi ni wa kwako au wa diamond?Pesa za safari zinatoka kwenye mfuko wa wasafi..