Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

Bill 26 kwenye ukoo wetu ata wakijichanga hioo pesa hawaezi ipata mzee ajitoe tuu kafara ya kufia jela kizazi chake kinufaika. UPENDO WA AGAPE.
Kwa Seth bei ndogo sana hiyo na atalipa vizuri tu. Umesahahu ziligawanywa bilioni zaidi ya 300.
 
Wezi huwa wanafahamiana na wezi wenzao. Hawa wezi wanaojiita serikali wamekwisha chungulia akaunti zake benki.
Bill 26 kwenye ukoo wetu ata wakijichanga hioo pesa hawaezi ipata mzee ajitoe tuu kafara ya kufia jela kizazi chake kinufaika. UPENDO WA AGAPE.
 
Pesa alizopiga sh ngapi? Faini iwe hii?
 
Mama Safi siyo safi?

Hatimaye wamebana wameachia
Mkuu mbona sioni uzi wako ukijadili bajeti? Sasa hivi naona ukiamzishwa uzi wowote unarukia ili uone utamtakatishaje dhalimu.
 
Rudi kwene katiba na prosecution Act uelewe mamlaka hasa ya DPP kabla huja changia
 
Asingekuwa JPM mngezipata wapi hizo na nani angemkamata huyo bilionea?
 
Waliokwapua 350 ndiyo wameamua alipe hicho kiduchu. Mungu anamuona JK
 
Yaani wamesubiri mpaka Jiwe kaondoka ndio wanahukumu really after 4 yrs duuu.Anyway na hizo hela alizoambiwa alipe utakuta ndizo walizo chukua kwenye account
 
Acha walipe tu wameturudisha nyuma sana hawa watu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…