Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

Samia = Magufuli.

Kiri na kuweka mzigo kwenye akaunti haraka sana.

Mtaelewa tu vivutio vya utalii nyinyi
Samia na mwendazake hawafanani kabisa maana Samia anataka haki.Magufuli alikuwa anawapenda watu magaidi jamii ya Sabaya,Makonda,Chalamila na Khenan.

Khenan alipiga viboko watu hadharani lakini Magu alikuwa kimya vivyo hivyo kwa Chalamila.

Samia ameanza kuwafagia team JPM wote sasa utasemaje wapo sawa.
 
Maza naye anatafuta pesa kwa njia za marehemu nini?
Hii imefanyikia mahakamani. Ile ya mwendazake ilikua inaishia kwa DPP. Plea bargain (kukubali kuwa guilty na kulipa kiasi mnachokubaliana mahakamani, ipo kisheria). Process huanzia kwa DPP na kuishia mahakamani. Hii inamsaidia defendant kupunguziwa adhabu kuliko kama akikomaa ambapo atapata adhabu kubwa zaidi.
 
Hii imefanyikia mahakamani. Ile ya mwendazake ilikua inaishia kwa DPP. Plea bargain (kukubali kuwa guilty na kulipa kiasi mnachokubaliana mahakamani, ipo kisheria). Process huanzia kwa DPP na kuishia mahakamani. Hii inamsaidia defendant kupunguziwa adhabu kuliko kama akikomaa ambapo atapata adhabu kubwa zaidi.
Watu wanaonewa bure
 
EeeenHeee!

Hebu ziweke nasi tuzione.
Sawa.
Screenshot_20210616-155400.jpg
 
Hahahahaa...

Mbona walisema samia hapendi pesa za dhuluma!

Mpaka wakamnanga DPP Biswalo kwamba eti anawatapeli wahalifu wanaokiri makosa!!

Maneno mengi vitendo vichache!

Wanafikiri nchi inaongozwa kwa mbwembwe za maigizo!
 
Pesa chache sana kwake maana yeye alikuwa analipwa capacity charge milioni 400 kila siku na kwa mwaka ni bilioni 146 wakati akizalisha umeme kutoka kwenye mitambo yake ya IPTL.
Hizo hela ilikuwa inalipwa kampuni yake mzee, siyo zake binafsi, and nadhani unaelewa mfumo wa kampuni kubwa kama hiyo ipoje
 
DPP Sylvester Mwakitalu leo amemuachia huru mfanyabiashara Herbinder Seth baada ya kukiri makosa na kulipa faini.

Mzee Ruge bado amekomaa, tusubiri tuone nini kinaendelea.

Source: Darmpya Blog
Tuache masihara, kukiri na kulipa? Mhh usiseme twafa, sema "NAFA"
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth, kulipa fidia ya Sh 26bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Chanzo cha habari yako ni media gani ?
habari haina maelezo ya kutosha.
 
hii nchi ilitafunwa sana na mafisadi wachache.

sasa tunamuomba Rais wetu Mama Samia asiachie mwanya hata kidogo wakajitokeza mafisadi wapya wakaanza kuitafuna nchi yetu.
Tuwe macho
 
Back
Top Bottom