Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,898
- 40,547
Waigizaji hatuna bora tuazime Nigeria.'Tollywood'
Waigizaji hatuna bora tuazime Nigeria.'Tollywood'
Sasa hapa unapouliza ndio kwenye magazeti?Kwanini magazeti hawajandika hizi Almasi ni zile za Petra Diamonds
Mwananchi gani imemdhurumu,naona umerukia tu hii tarifa bila hata ya kuisoma, unailaumu serikali kwa lipi?hii sirikali imechoka hadi imeamua kudhulumu wananchi wake
Utakuta huu mchongo kuna watu waliwachoma sababu hawa jamaa wana ubinafsi na ukabila kwa sana, na nadhani huo ndio ulikuwa mchezo wao wa kula wenyewe .Dah wote wahaya
Shhhh.... tunatengeneza mabilionea wapya acheni makelele Mkuu.Hao ni maskini tayari
Mkuu "wahujumu" waliandika barua kwa dipiipii "ili yaishe!!"Faini ya 1m tells it, it means there was an element of unfair crucification, thus necessitating lighter sentence
Tanzania charges officials with economic sabotage over seized diamonds
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzanian prosecutors charged two government officials on Friday with economic sabotage after they were accused of undervaluing an export-bound consignment of diamonds seized from a mine majority owned by London-listed Petra Diamonds.
Archard Kalugendo, director of the state-run diamond and gemstone valuation unit, and government gemstone valuer Edward Rweyemamu were jointly charged with being responsible for $1.1 million of lost tax revenue.
The court case is the latest twist in a government crackdown on the minerals industry this year, with President John Magufuli accusing the sector of not giving the government a fair share of Tanzania's mineral wealth.
Kalugendo, 49, and Rweyemamu, 50, are both employees of the Ministry of Energy and Minerals. They were not allowed to enter pleas at the Kisutu Resident Magistrate's court in Tanzania's commercial capital, Dar es Salaam.
Lawyers said the two officials will enter their pleas when the case is transferred to the high court, which has jurisdiction to hear economic sabotage trials.
The accused were denied bail and will be held on remand until the next hearing on Sept. 29. The pair face maximum jail terms of 20 years if found guilty.
The diamonds were seized as they were being exported to Antwerp, Belgium, from Tanzania's main airport in Dar es Salaam on Aug. 31. Petra Diamonds said on Monday that it had halted operations at its Williamson mine after the government seized the diamonds and questioned some of its employees.
Petra owns 75 percent of the mine, with the Tanzanian government holding the remaining shares. Petra has denied that it under-declares its diamond exports, saying that it follows all government laws and procedures in its business.
The government said it will nationalize the diamonds, the value of which it puts at $29.5 million, twice the provisional value approved by the two government officials charged in court.
The government has not disclosed how it came to its $29.5 million valuation.
Magufuli had ordered the examination of exports by individual companies after a parliamentary investigation found that the country's diamonds and other precious gemstone exports were under-declared.
Mining accounts for about 4 percent of Tanzania's GDP.
Source: Reuters
Washtakiwa Archard Kalugendo na Edward Rweyemamu wanadaiwa kwa pamoja na kwa vitendo vyao, wakiwa wathaminishaji wa almasi wa Serikali na waajiriwa wa wizara hiyo waliisababishia Serikali hasara ya ambayo ingekuwa tozo ya kodi ya Dola za Marekani 1,118,291.43 ambazo ni sawa na Sh 2,486,397,982.54.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetaifisha mzigo wa madini ya almasi ambao ulikutwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, ukiwa unasafirishwa kwenda nchini Ubelgiji, wenye thamani ya sh. bilioni 61, 970,625,864.
Almasi hizo zina uzito wa carats wa 71,654.45 ambazo zilikuwa zinasafirishwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa uthaminishaji Almasi na Vito Tanzania(TANSORT), Archard Kakugendo na Mthamini almas wa Serikali Edward Rweyemamu.
Pia mahakama hiyo, imewahukumu wathaminishaji hao ambao ni Kalugendo na Rweyemamu , kulipa faini ya sh. milioni moja kila mmoja au kwenda jela miaka mitatu, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuisababishia Serikali hasara sh. bilioni 61.9.
Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya, baada ya washitakiwa kuandika barua kwenda kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini( DPP), Desemba 17, mwaka huu ya kuonyesha nia ya kuingia makubaliano ya kukiri kosa lao.
Awali kabla ya kutolewa kwa adhabu hiyo, jopo la mawakili watatu wa Serikali Wakiongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Monica Mbogo, walidai shauri lilipelekwa kwa kutajwa na upelelezi wa shauri hilo umekamilika na kwa Mamlaka ya sheria ya Uhujumu uchumi, DPP ameridhika kuwashitaki washitakiwa katika mahakama hii.
Pia Wakili wa Serikali Jacqueline Nyantore, alidai kesi hii ni Uhujumu Uchumi, hivyo DPP ameipa kibali mahakama hii kesi kusikilizwa.
Akiwasomea shitaka alidai washitakiwa wote wanakabiliwa na shitaka la kuisababishia Serikali hasara ambapo alidai Agosti 25 na 31, mwaka 2017 katika maeneo mbalimbali ya mikoa wa Dar es Salaam na Shinyanga, washitakiwa hao kwa pamoja wakiwa wathamini wa Wizara ya Nisahati na madini walisababisha hasara ya dola za 29,509, 821.84, sawa na sh. bilioni 61.9
Duuuuuubilioni 61, 970,625,864.????
Huo mzigo waliupata kutokana na kazi yao. Kwa maana nyingine waliuiba, hivyo hawana hasara nao.Jumbuka na mzigo wao wa B 61 umechukuliwa
hapa tumedanganywa Kama kweli ndo uzito halisi kweli mtu awe na ujasili wa kubeba 14kgView attachment 1654055