Kisutu: Mzigo wa Madini wenye thamani ya Bil 61 Wataifishwa, ni ule Uliokamatwa Uwanja Ndege wa Dar


kweli mtaji wa ccm ni wapumbavu Kama Hawa, Sasa hapo Lissu anaingiaje
 
kweli mtaji wa ccm ni wapumbavu Kama Hawa, Sasa hapo Lissu anaingiaje
Lisu anaishi ubelgiji na kampeni zake aliahidi kuwapa wazungu madini na huo mzigo wa almasi ulikuwa ukienda Ubelgiji aliko ina maana yeye ndie master mind wa huo wizi ndio link ya waBelgiji wezi na watanzania wezi yeye ndie middleman wao na aliutaka uraisi ili waibe madini yetu wakishirikiana na wabelgiji
 
Adhabu gani hizi? Mtu anataka kuiba bil 61 analipishwa mil 1 au miaka 3!
Sheria hazifanyi kazini enzi hizi hata wanasheria wameacha au wameshindwa kusimamia taaluma zao na wamezigeuza kuwa siasa shame on them.
 
ushawaza walokamatwa nafasi zao kazini?kuna mpinzani mwenye Nguvu ya kufanya atakavyo kuwa mfanyakazi wa tz?ifike kipind tuwe timamu vichwani
 
Faini ya 1m tells it, it means there was an element of unfair crucification, thus necessitating lighter sentence
Lakini si hata huko nje mnaposema demokrasia na haki vimeshamiri, mwalifu akikiri kosa si huwa wanampunguzia adhabu kwa kutoa ushirikiano wa kutoisumbua mahakama!?

Kwa nini utaratibu huu Ukitumika hapa nchini minong'ono ianze kuwa kuna "namna "?
 
Waandishi wetu ni janga la Taifa, sasa hiyo sijui ni quantillion?
Mbona iko sawa ni billioni 61, million mia tisa sabini laki sita ishirini na tano elfu na mia nane sitini na nne! (61, 970,625,864)
 
Mbona iko sawa ni billioni 61, million mia tisa sabini laki sita ishirini na tano elfu na mia nane sitini na nne! (61, 970,625,864)
Unaelewa tulichokuwa tunakosoa kwenye huo uandishi wa kiasi cha pesa? Nakushauri usome upya hilo bandiko la mdau uone makosa yaliyopo. Hivi mtu akiandika "wenye thamani ya sh. bilioni 61, 970,625,864" itakuwa sawa na hiyo uliyoandika wewe?
 
DPP anaipa mamlaka mahakama kusikiliza kesi ???!!! SIJAELEWA
 
Hao jamaa wanampunga mrefu sana,hivi tunajua ni deal ngapi wamefsnikiwa kupiga tangu wawe katika kitengo hicho ndani ya wizara?
Lazima watakuwa wamepiga deal sana
Ila lazima serikali itakuwa imewakamua
Watu kama hao siyo wa kuachaaa

Ova
 
Unaelewa tulichokuwa tunakosoa kwenye huo uandishi wa kiasi cha pesa? Nakushauri usome upya hilo bandiko la mdau uone makosa yaliyopo. Hivi mtu akiandika "wenye thamani ya sh. bilioni 61, 970,625,864" itakuwa sawa na hiyo uliyoandika wewe?
Nafikiri nimeelewa hoja yako, kuna makosa ya kiuandishi.....nilioverlook! ni ama angeandika kwa maneno, au angeandika hiyo figure bila kutanguliza neno bilioni mbele ya hiyo figure nzima! Shukrani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…