Kisutu: Mzigo wa Madini wenye thamani ya Bil 61 Wataifishwa, ni ule Uliokamatwa Uwanja Ndege wa Dar

Yaani watu walikuwa wanatorosha almasi ya bil 61, alafu anapigwa faini ya kulipa mil 1... Yaani hz mahakama kwa kweli zinashangaza.. Si kesho yake wataendelea kuiba na wengine watafuata.. Adhabu ndogoooo sana hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…