Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Dady is coming htakubalianabora likakae jela hata miez3 akili imrudie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dady is coming htakubalianabora likakae jela hata miez3 akili imrudie
Amehukumiwa miaka mingapi?
Ooh sorry kumbe kesi bado?
Movie atakayochezewa hamna atakayeamini BAKHawawezi kumfunga watasema kifungo au faini na daddy atamlipia faini ya kati ya 1.5 million to 2 million.
Naomba kueleweshwa... Amekutwa na hatia, halafu anatakiwa akajitetee... !!!! Nilitegemea kukutwa na hatia ni baada ya kujitetea...!!! THEN HUKUMUMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imemkuta na hatia msanii Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili, kwa kosa la matumizi ya madawa ya kulevya.
Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Simba baada ya kupitia ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na mashahidi watano wa upande wa mashtaka waliokuwa wakiongozwa na Wakili wa Serikali, Constantine Kakula, na kusema kwamba Wema na wenzake wataanza kujitetea Mei 14 na 15, 2018.
Kabla ya uamuzi huo kutolewa Wakili Kakula aliiambia mahakama kuwa kesi hiyo leo ilipangwa kwa ajili ya uamuzi kama washtakiwa hao wana kesi ya kujibu ama la, na ndipo Hakimu Simba akasema kwa mujibu wa sheria iwapo washtakiwa watapatikana kuwa wana kesi ya kujibu wataanza kujitetea, na ndipo aliposema baada ya kupitia hoja zote zilizowasilishwa mahakamani hapo, imejitosheleza kwamba washtakiwa wote wana kesi ya kujibu katika mashtaka yote, hivyo wana haki ya kisheria kuanza kujitetea.
Wema na wafanyakazi wake wawili wanakabiliwa na kesi ya kutumia madawa ya kulevya aina ya bhangi, na kesi hiyo imehairishwa mpaka Mei 14 mwaka huu.View attachment 754481
Movie atakayochezewa hamna atakayeamini BAK
DAB siyo mtu wa kumwamini.
Kwanza amehakikisha kamrudisha Wema upande wake na kumgombanisha na wanannchi ili aweze kummaliza vizuri maana wapiga kelele hawapo upande wake tena.
Tunza hii comment utakuja niambia.
Kama angebaki CDM labda,daddy's comingAende jela walau miaka miwili