KISUTU: Wema Sepetu na Wafanyakazi wake wakutwa na kesi ya kujibu! Kuanza kujitetea Mei 14 na 15, 2018

Hawawezi kumfunga watasema kifungo au faini na daddy atamlipia faini ya kati ya 1.5 million to 2 million.

Amehukumiwa miaka mingapi?
Ooh sorry kumbe kesi bado?
 
Hawawezi kumfunga watasema kifungo au faini na daddy atamlipia faini ya kati ya 1.5 million to 2 million.
Movie atakayochezewa hamna atakayeamini BAK
DAB siyo mtu wa kumwamini.
Kwanza amehakikisha kamrudisha Wema upande wake na kumgombanisha na wanannchi ili aweze kummaliza vizuri maana wapiga kelele hawapo upande wake tena.
Tunza hii comment utakuja niambia.
 
Reactions: BAK
Naomba kueleweshwa... Amekutwa na hatia, halafu anatakiwa akajitetee... !!!! Nilitegemea kukutwa na hatia ni baada ya kujitetea...!!! THEN HUKUMU
 
Naona naye atapewa 'ubalozi' wa kuwaelimisha wenzake madhara ya kutumia bangi kama wale waliofikishwa polisi kwa mbwembwe eti wametumia mitandao ya kijamii vibaya kisha mambo kuyeyuka kama barafu.

Yaani mtu maisha yake ni kupost hata yasiyofaa halafu baada ya dk 5 awe mwalimu wangu wa kunifundisha matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii!!!

Pole WEMA kama kweli unatumia hiyo kitu & pole pia kama hutumii bali mhanga wa njama chafu zilizoshika kasi.
 
Nimeshaitunza dark angel May 14th ni 3 weeks toka leo hii.

 
its a recreational drug!
hatushangai makesi kujazana mahakamani!
this a waste of taxpayers money! labda tunazo nyingi!
 
Reactions: BAK
Wanazo trilioni za kulipa faini, hamna shida .
 
Hapo hukumu ni kifungo miaka kadhaa au kulipa faini na atatoa faini basi kesi imeisha
 
Msanii wa bongo movie amekutwa ana kesi ya kujibu katika shtaka linalomkabili la kutumia madawa ya kulevya Uamuzi huo umetolewa na hakimu mkazi wa Mahakama ya kisutu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…