Kiswahili and the International Arena

Kiswahili and the International Arena

Brainy Chick

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
64
Reaction score
21
Habari wadau wa jukwaa hili!
Naomaba kupata mawazo yenu na tuwe honest. Hivi mnahisi lugha ya kufundishia ikiwa kiswahili kuanzia chekechea hadi chuo tutaweza kuhimili ushindani katika nyanja za kimataifa?? Tukiliweka swala la kazi (jobs) kama kipaumbele katika mjadala huu.
 
Swali lako halina msingi, kwani unawaza tayari mambo ya Kimataifa wakati ya Kitaifa hujayafanyia kazi! Uliona wapi watu wanapanga sera kwa kuangalia mambo ya Kimataifa kabla ya kitaifa? Maana yake ni kwamba kwa kawaida jamii nyingi hushuligilikia mambo yao kwanza yakikaa sawa ndio huanza kuangalia mambo mengine ya Kimataifa, hivyo Lugha yetu kwanza tukikaa sawa hapo ndio tuanze kuangalia nje ya mipaka yetu!

Asante kwa mawazo yako. Think outside the box,ndiko tunakoelekea,the world is already a village keeping in mind swala la EAC.Mdau naona kama umelekea zaidi kunicriticize na siyo kuona uzito wa mada.Anyway it's a free country.
 
JIULIZE MASWALI HAYA YAFUATAYO:
1. WAKOREA WAMEWEZAJE KUTUMIA KIKOREA CHAO NA KUFANIKIWA? JE, LG, SUMSUNG, HYUNDAI, IPHONES nk zimewapatia maendeleo kupitia Kiingereza? HAPANA. WANAFUNDISHWA KWA KIKOREA TAALUMA ZOTE, MAARIFA YOTE...KWA HIYO WANAELEWA VIZURI NA KUWEZA KUBUNI YA KWAO. ILA WANAJIFUNZA KIINGEREZA KAMA LUGHA YA MAWASILIANO ILI WAWEZE KUWASILIANA NA WATU WENGINE DUNIA.
2. WACHINA NA KICHINA
3. WAJERUMANI NA KIJERUMANI
4. WAJAPANI NA KIJAPANI
5. WASWIDI NA KISWIDI
6. WAFINI NA KIFINI
7. WARUSI NA KIRUSI

NK.NK. wote hawa wamefikia maendeleo yao kwa lugha zao.....je kwa nini Kiswahili kishindwe kuwafikisha huko Watanzania?
 
Mimi naona kama makosa yalishafanyika mwanzoni. Tulitakiwa tuanze hivyo toka zamani mdau.
 
Ni kweli lakini yaliyopita si ndwele...tugange yajayo. KAMA MAKOSA YALIFANYIKA ZAMANI...SI INAWEZEKANA KUREKEBISHWA? TUCHUKE HATUA
 
Back
Top Bottom