Kiswahili fasaha ni kipi?

Kiswahili fasaha ni kipi?

Ni vile watu wanaona wakisema ndiyo wanatumia sec nying kwahiyo (ko) wanatumia ndio
Wataalam hawa NDIYO wamehusika kurusha roketi mpya ya taasisi mashuhuri ya SpaceX.

Inamantikika kweli hiyo?

Kuna ndiyo (yes, right, sahihi) na siyo (hapana, no). Halafu kuna ndiyo, ndio, ndiye, ndicho, ndilo, ndivyo, ndimo, ndipo, ndiko, ndizo, sio, siyo, siye, sicho, silo, sivyo, simo, sipo, siko, sizo zinazohusiana na urejeshi.
 
Wataalam hawa NDIYO wamehusika kurusha roketi mpya ya kampuni ya SpaceX.

Inamantikika kweli hiyo?

Kuna ndiyo (yes, right) na siyo (hapana, no, sahihi). Halafu kuna ndiyo, ndio, ndiye, ndicho, ndilo, ndivyo, ndimo, ndipo, ndiko, ndizo, sio, siyo, siye, sicho, silo, sivyo, simo, sipo, siko, sizo zinazohusiana na urejeshi.
Duh!
 
Wataalam hawa NDIYO wamehusika kurusha roketi mpya ya kampuni ya SpaceX.

Inamantikika kweli hiyo?

Kuna ndiyo (yes, right, sahihi) na siyo (hapana, no). Halafu kuna ndiyo, ndio, ndiye, ndicho, ndilo, ndivyo, ndimo, ndipo, ndiko, ndizo, sio, siyo, siye, sicho, silo, sivyo, simo, sipo, siko, sizo zinazohusiana na urejeshi.
sipo na nipo, mbali na urejeshi, vilevile zinabeba dhana ya uwepo ama kutowepo (existence and non-existence).

1. Siku nyingi sijakuona; kumbe upo? Ndiyo. Mimi nipo. (Dhana ya uhai, uwepo, bila kujali eneo)

2. Uko wapi? Niko Zanzibar. Niko barazani. Niko chuo. (Dhana ya kuwepo mahali fulani mahususi)
 
Back
Top Bottom