Kiswahili fasaha ni kipi?

Kiswahili fasaha ni kipi?

Mko poa bila shaka

Kiswahili fasaha ni kipi au neno sahihi ni lipi

1. Ndiyo
Au
2. Ndio

Lipi neno sahihi
Ndiyo ni kukubali/ Sahihi.

Mfano.Wewe ndiye Mwachiluwi?
Wewe. Ndiyo.

Ndio ni Mkazo/Msisitizo katika sentensi.

Mfano.Hawa ndio wanafunzi waliohitimu darasa la saba.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom