Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Yote ni sahihi matumizi ndio tofouti.Mko poa bila shaka
Kiswahili fasaha ni kipi au neno sahihi ni lipi
1. Ndiyo
Au
2. Ndio
Lipi neno sahihi
Embu dadavua hapo kwenye matumiziYote ni sahihi matumizi ndio tofouti.
Sasa hiyo ndio inatoka wapi?Kwenye kiswahili hakuna ndio kuna ndiyo
ameshalewa huyo karopoka tu..😂Embu dadavua hapo kwenye matumizi
Mko poa bila shaka
Kiswahili fasaha ni kipi au neno sahihi ni lipi
1. Ndiyo
Au
2. Ndio
Lipi neno sahihi
Ahahahameshalewa huyo karopoka tu..😂
H kumbeFasaha ni Ndiyo.
Kuna:-
Baadaye na si baadae.
Yeyote(Binadamu) na yoyote(Mazingira)
Hao na hayo ,sahihi ni hao
Ni vile watu wanaona wakisema ndiyo wanatumia sec nying kwahiyo (ko) wanatumia ndioSasa hiyo ndio inatoka wapi?
Wataalam hawa NDIYO wamehusika kurusha roketi mpya ya taasisi mashuhuri ya SpaceX.Ni vile watu wanaona wakisema ndiyo wanatumia sec nying kwahiyo (ko) wanatumia ndio
Duh!Wataalam hawa NDIYO wamehusika kurusha roketi mpya ya kampuni ya SpaceX.
Inamantikika kweli hiyo?
Kuna ndiyo (yes, right) na siyo (hapana, no, sahihi). Halafu kuna ndiyo, ndio, ndiye, ndicho, ndilo, ndivyo, ndimo, ndipo, ndiko, ndizo, sio, siyo, siye, sicho, silo, sivyo, simo, sipo, siko, sizo zinazohusiana na urejeshi.
ndiye huyundiyo huyu amekula jana
sipo na nipo, mbali na urejeshi, vilevile zinabeba dhana ya uwepo ama kutowepo (existence and non-existence).Wataalam hawa NDIYO wamehusika kurusha roketi mpya ya kampuni ya SpaceX.
Inamantikika kweli hiyo?
Kuna ndiyo (yes, right, sahihi) na siyo (hapana, no). Halafu kuna ndiyo, ndio, ndiye, ndicho, ndilo, ndivyo, ndimo, ndipo, ndiko, ndizo, sio, siyo, siye, sicho, silo, sivyo, simo, sipo, siko, sizo zinazohusiana na urejeshi.
Hapo sijaweka alama ya mkato kutenganisha ndiyo ,huyu amekula ni saw\.ndiye huyu
Ndiye inaweza kusimama yenyewe ikajitegemea ukisema ''Ndiye'' mpaka umetaja mtu kabisa moja kwa moja hakuna haja ya maneno mengine.Hapo sijaweka alama ya mkato kutenganisha ndiyo ,huyu amekula ni saw\
Ndiyendiye huyu
Ndiyo - YesSasa hiyo ndio inatoka wapi?