Kiswahili is now a unifying factor of Kenya

Tunakitumia kwasababu tulifundishwa hivyo shuleni....frankly, it was shoved down our throats...hehe....ofcourse i dont speak for all Kenyans...but most of them...punguza povu lakini usije ukatenda dhambi leo Jumapili...mimi nawaeleza ukweli ulivyo...hakuna anayedhamini Kiswahili huku
 
kibaya sana...kwasababu kama nilivyosema hatukidhamini Kiswahili hata kidogo...
Vipi kiswahili cha bongo mnakichukuliaje? I mean how Kenyans feel when they hear tz swahili
 
Tunakitumia kwasababu tulifundishwa hivyo shuleni....frankly, it was shoved down our throats...hehe...punguza povu lakini..ofcourse i dont speak for all Kenyans...but most of them
hehehe... eti punguza povu.. kumbe hadi wakenya mnautumia huo msemo...hahaha...dats y I luv ma Swahili language
 
Vipi kiswahili cha bongo mnakichukuliaje? I mean how Kenyans feel when they hear tz swahili
most of us think ni lugha ya kishamba...mostly because we think Kenyans are superior and Tz are inferiors....ndio maana hakuna anyezungumza...
 
hehehe... eti punguza povu.. kumbe hadi wakenya mnautumia huo msemo...hahaha...dats y I luv ma Swahili language
msemo huo niliujulia hapa hapa JF...lakini ni msemo mzuri kwangu
 
Pumbav, sasa mnakishobokea cha nini. Ambia serikali yenyu iachane nacho muanze na sheng au mstick na lugha ya bwana wenu.
 
Basi kama mmefundishwa shuleni ni nyie na serikali yenu, msijekutupigia kelele jukwaani kana kwamba sisi watanzania ndo tunataka muongee Kiswahili, wapigieni kelele viongoz wenu kua hamkitaki na mngependa kuendelea na lugha mliyokopa kwa wakoloni, hata mkijisifu vipi na kingereza hamuwez kua waingereza bt sisi tunajisifu na Kiswahili na tutaendelea kua waswahili, what a blessing.....πŸ™‚
 
kwa hiyo hii ndo lugha yenu ya kijanja.....poleni sana,halafu si kweli kwamba ati mtaani hamuongei Kiswahili,mnaongea Kiswahili ila cha hovyo sana
Examples
Sheng Standard English (translation)
Huu msee ni fala! This guy's an idiot!
Si unidungie chwani? Can you please give me fifty shillings?
Acha kubonga mavi mdhii. Stop talking smack, man.
Ukivuta fegi utajiletea noma If you smoke cigarettesyou'll get yourself in trouble.
Ule dame amechapa! That girl is ugly!
Maisha ni gwan bana. Life is hard man.
Kuja utugawie hizi njiva. Come and share your fries with us.
Budake alishikwa na makarao. His dad was caught by the police.
Aliibiwa mbota na mboch. His watch was stolen by his housegirl.
Aliona magondi akaingiza njeve. He got scared when he saw some thugs.
Budake ni mzii. His father is tough/bad.
Mokoro aliniwai rwabe nikamchekie ka kwota. My mother gave me 200 shillings to go buy a quarter kilogram of meat.
Alirauka gware ndo asihate mat za kwenda kwao moshatha. He woke up early so as not to miss a matatu to his rural home.

[/QUOTE]
 
Dhamini[emoji735]
Thamini[emoji736]
 
Pumbav, sasa mnakishobokea cha nini. Ambia serikali yenyu iachane nacho muanze na sheng au mstick na lugha ya bwana wenu.
hehe usipandwe na povu kwasababu hatudhamini lugha ya Kiswahili...this is just how we were brought up...and also coz tanzanians are inferiors...we cant speak language of Inferiors...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›
 
Sijataja kujua ubora wa kingereza cha ni cha wapi Mkuu, nilitaka niijue tu kama kinaweza kuwa ni kiunganishi baina ya makabila tu.

Kuhusu ubora wa kingereza, UK wanaozungumza English bora ni asilimia 3 tu, wengi wao ni wafanyakazi wa BBC, na wale watokao kwenye ukoo wa kifalme.

RP, ndo kingereza kilichopitishwa, sifikirii kumkuta mkenya asiyesoma linguistic kulijua hiki kama waingereza wenyewe hawakijui.

Mwisho, imethibitika kwamba anayejifunza kingereza kama mwanafunzi kabisa nikijua zaidi ya aliyezaliwa nacho, hivyo msomi w kitanzania akifudhu atazungumza kingereza bora zaidi ya wakenya, RP. La mwisho, hii ni lugha kama zilivyo zingine, na ni bora kwa watumiaji wake kama zilivyo bora lugha zingine kwa watumiaji wake. Asante kwa kunijuza hilo.
 
ndio, kujibu swali lako.. Kiswahili kinaunganisha makabila ya Kenya....
 
hehe usipandwe na povu kwasababu hatudhamini lugha ya Kiswahili...this is just how we were brought up...and also coz tanzanians are inferiors...we cant speak language of Inferiors
Nadhani unamaanisha thamini badala ya dhamini uiandikayo, endelea kujifunza eh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…