Kiswahili is now a unifying factor of Kenya

Kiswahili is now a unifying factor of Kenya

Pole pole mutafika. Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Is this supposed to be a surprise? For many decades, Swahili has always been a unifying factor in Kenya...not just now....so is English...although 'Kiswahili Sanifu' is a challenge for many Kenyans except the ones from the coast (wapwani), it brings Kenyans together. many Kenyans prefer to speak English or Sheng' though and not Kiswahili Sanifu kama tz...ni lugha ya kishamba huku
 
Ni waafrica washamba tu ndio bado wanashadadia lugha ya kizungu hadi leo. Kiingereza ni lugha tu ya mawasiliano, lakini washamba wanadhani ni lugha ya wasomi.
kwa hiyo Kiswahili ndio lugha ya wasomi?...kwa hiyo akina Desmond Tutu, Lumumba na Mandela pia sio wasomi...hata mimi naona..endelea kutumia uji na kinyesi kufikiria ...😀😀😀
 
pride comes with inferiority...tunakua na pride kani tuko juu yenu...
Hivyo ndivyo wakenya mfikirivyo.
Ukweli ni kwamba mnaweza kua juu yetu kwa baadhi ya mambo lakini sio kwa kila jambo.
Ni sie pia tunaweza kua juu yenu kwa baadhi mambo lakini nachelea kusema tupo juu yenu kwa kila jambo.
 
akili yako nadhani imejaa uji....nikisema hivo namaanisha maeneo mengi na sio kila mahali.....ningemaanisha kila mahali ningefaa kutaja maeneo hayo....
Bado muongp pia. Maeneo mengi ni mother tongue isipokuwa coast tu ndo asilokia 90% wanaongea kiswahili. Usidanganye watu bwana kuwa mkweli.
 
Hivyo ndivyo wakenya mfikirivyo.
Ukweli ni kwamba mnaweza kua juu yetu kwa baadhi ya mambo lakini sio kwa kila jambo.
Ni sie pia tunaweza kua juu yenu kwa baadhi mambo lakini nachelea kusema tupo juu yenu kwa kila jambo.
la hivyo ndivyo mambo yalivyo...
 
Bado muongp pia. Maeneo mengi ni mother tongue isipokuwa coast tu ndo asilokia 90% wanaongea kiswahili. Usidanganye watu bwana kuwa mkweli.
says the person living in Tandale slums and eating albino for breakfast😀😀😀😀...mimi nasema ninalolijua kuhusu nchi yangu...sasa sijui wewe unasema nini kuhusu nchi usiyoijua...
 
most of us think ni lugha ya kishamba...mostly because we think Kenyans are superior and Tz are inferiors....ndio maana hakuna anyezungumza...
Superior in what
Uku nchi yenu inauchumi wa wazungu na sio wenu nyie
Tanzania uchumi wake ni from watanzania but kenya ni makampuni ya nje ndo yameshika uchumi wenu
 
Superior in what
Uku nchi yenu inauchumi wa wazungu na sio wenu nyie
Tanzania uchumi wake ni from watanzania but kenya ni makampuni ya nje ndo yameshika uchumi wenu
superior in everything except eating albinos and witchcraft😀😀😀😀...anyway on a serious note...if i must say, we have the bigger and richer economy...period! finish!...
 
ndio tutaendelea..nanyi endeleeni na lugha yenu tukufu ya Kiswahili sanifu...mix it with broken English pia kama mnavojua sana...😀😀😀😀
lazima iwe broken English coz sio lugha yetu, tutajisikia vibaya kuongea broken swahil bt sio broken English...hiyo English ipite vileee....
 
lazima iwe broken English coz sio lugha yetu, tutajisikia vibaya kuongea broken swahil bt sio broken English...hiyo English ipite vileee....
asante kwa kukubali ukweli wa mambo...😀😀😀
 
says the person living in Tandale slums and eating albino for breakfast😀😀😀😀...mimi nasema ninalolijua kuhusu nchi yangu...sasa sijui wewe unasema nini kuhusu nchi usiyoijua...
Huna unachokijua kuhusu nchi yako. Unaongea utumbo hapa. Tuanijua nchi yako kuliko hata ww. Unakaa kudangnya watu hapa. Wakati mwingine ukija hapa kupngea kitu lazima utulize akili ujue kuna watu wanaijua kenya mpaka mambo ya siri ya kenya
 
Mataifa mengi yaliyoendelea yanatumia lugha zao,
Mfano, Wachina wanatumia kichina ni upuuzi kiasi gani kwa wananchi wa kenya kujivunia kiingereza!

Mngekuwa wa maana sana ikiwa mngekuza lugha yenu wenyewe, ila mlivyo na ukabila...........

Hamtaweza kuwa na lugha yenu wenyewe itakayowaunganisha nyote.
 
asante kwa kukubali ukweli wa mambo...😀😀😀
ni kawaida yetu, sisi sio watu wakubadil njano kua nyekundu n tunajivunia chetu, sio watumwa ka nyie, hamjui yakua nguo ya kuazima haistiri matako, huko ulaya wanatuona sisi nyani (Mungu awasamehe hawajui watendalo), so usidhanie kwa kuongea English mmejitoa kwenye unyani na kua sawa na wao, mnajidanganya, racism z always there u better be proud of your own things, coz copying wont help u anyways....u will always be Kenyan and not English....poor u....
 
utashangazwa! wakenya wengi hata wale wasio na masomo ya juu wanaelewa kiingereza vizuri tu...View attachment 505704
Kuzungumza ndio shida especially wale wakongwe...kama ni vijana, wote wnazungumza Kiingereza hata kama ni mashambani...tuseme kiingereza ya mkenya wa darasa la pili ni bora kuliko ya mtz wa shule ya upili
Haya ndo yale mambo ya kushangaa uende marekan af useme hee hawa mbwa/dogs wanaelewa kiingereza..ths is bullshit...its just a language.haina maana sana,wachina na wengine wanaojielewa hawajisifii kutumia lugha za watu,ni africa tuu ndio bado huu umaskin wa akil unatawala. Crazyassniggaz
 
KIswahili kinakua kwa kasi kubwa nchini Kenya. This language is breaking down all the burriers of tribalism in Kenya. Kiswahili kinabomoa kwa kasi ukabila nchini Kenya. Wakenya sasa wako wamoja kwasababu ya matumizi makubwa ya Kiswahi. Kaimu Raisi W. Ruto jana aliongea kiswahili kizuri sana.Hongera sana Ruto kwa kupromot Kiswahili. You are good in Swahili.
Hapo umekosa, ni wazi kwamba haujui Kenya na akilini ulikua na picha yako ya vile Kenya hua,.. Kwahivyo ulipoona Ruto anaongea Kiswahili basi ukashangaa.... Kenya iko na literacy rake ya 89% hao wote walifundishwa Kiswahili shuleni kwahivyo wanakijua na kuelewa.....

Lakini kwa upande mwingine, wakenya wanachukulia elimu kama kitu cha maana sana... Nkwasababu hio, wakenya wengi hua wanapea umuhimu kwa Maximo ambayo yatawasaidia huko mbeleni, mara nyingi ni watu wachache sana hua wana ndoto za kufanya kazi inayo hitaji uweledi wa Kiswahili, kwahivyo watu hua wanaichukulia kama vile lugha unofficial, ya mawasiliano tu ya kawaida, kwahivyo si lazima wajue kiswahili kingi, bora wajue kuongea kiasi cha mtu mwengine kumwelewa hapo anajiona ako saws..... Kwa mfano mimi mwenyewe personally, nilipofika kidato cha tatu niliacha kusonea Kiswahili, nilikua nasoma masomo mengine alafu siku mmoja kabla mtihani wa kiswahili ndo nilikua nakisomea, anyway, mwalimu wetu alikua gwiji watu walikua wanampenda sana, hata ilikua haina haja uandike, ulikua unashika akilini Palo hapo, alikua anafundisha hadi historia ya kiswahili.... Lakini mwisho wa siku bado mimi nilikua sikipei muhimu.... Wanafunzi wengi hua ukiwauliza mbona hawapeani umuhimu kiswa hua watakuuliza "itanisaidia na nini" ama Kiswahili kitanisaidia wapi?" manake kutafuta kazi hua interview inafanywa kizungu, ndai ya offisi meeting ni kizungu.... Kiswahili ni wamasiliano na mfanyikazi wa kufagia ama mazumzo unofficial, ama baadae jioni ukiyoka offisini....
 
ndio, kujibu swali lako.. Kiswahili kinaunganisha makabila ya Kenya....
Hapana nilitaka niijue kama kingereza kimeweza kuwaunganisha wakenya mbali na makabila yao, ili kufikia hapo ni lazima kitumike kote, nyanja zote, kwa watu wa madaraja yote, si kwa wasomi tu, Tz kiswahili kimefikia hatua hilo.
 
kweli...wakenya wengi hawana haja na kiswahili sanifu...wanachukulia ni lugha ya kishamba...ndio maana wakatoa Sheng'... nadhani kilitoka kwa kuwadharau watanzania...most kenyans see tanzanians are inferiors and therefore dont want to be associated with them especially through language...
Unajisifia kutumia lugha ya mkoloni wako hadi leo?babu zako waliochapwa bakora enzi zile na bib zako waliokua rapped na mkoloni na mateso akisikia hii atahuzunika sana.
 
Is this supposed to be a surprise? For many decades, Swahili has always been a unifying factor in Kenya...not just now....so is English...although 'Kiswahili Sanifu' is a challenge for many Kenyans except the ones from the coast (wapwani), it brings Kenyans together. many Kenyans prefer to speak English or Sheng' though and not Kiswahili Sanifu kama tz...ni lugha ya kishamba huku
Lugha ya kishamba ingetumika kwenye vifaa vya kielektroniki kama Simu na Kompyuta?

Ww ndio mshamba unaeshobokea uzungu. Kiswahili kimeifanya Tanzania kuwa moja, nimefurahi kwa mtoa post kusema kimeanza kuwaunganisha wakenya.

Lakini kwa kwa Wakenya wenye akili finyu kama zako mtasubiri sana kuwa kitu kimoja na kuuzika ukabila wenu.
 
Back
Top Bottom