Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
kufika wapi?Ploe pole mutafika. Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kufika wapi?Ploe pole mutafika. Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Is this supposed to be a surprise? For many decades, Swahili has always been a unifying factor in Kenya...not just now....so is English...although 'Kiswahili Sanifu' is a challenge for many Kenyans except the ones from the coast (wapwani), it brings Kenyans together. many Kenyans prefer to speak English or Sheng' though and not Kiswahili Sanifu kama tz...ni lugha ya kishamba huku
kwa hiyo Kiswahili ndio lugha ya wasomi?...kwa hiyo akina Desmond Tutu, Lumumba na Mandela pia sio wasomi...hata mimi naona..endelea kutumia uji na kinyesi kufikiria ...😀😀😀Ni waafrica washamba tu ndio bado wanashadadia lugha ya kizungu hadi leo. Kiingereza ni lugha tu ya mawasiliano, lakini washamba wanadhani ni lugha ya wasomi.
kufika wapi?
Hivyo ndivyo wakenya mfikirivyo.pride comes with inferiority...tunakua na pride kani tuko juu yenu...
Bado muongp pia. Maeneo mengi ni mother tongue isipokuwa coast tu ndo asilokia 90% wanaongea kiswahili. Usidanganye watu bwana kuwa mkweli.akili yako nadhani imejaa uji....nikisema hivo namaanisha maeneo mengi na sio kila mahali.....ningemaanisha kila mahali ningefaa kutaja maeneo hayo....
la hivyo ndivyo mambo yalivyo...Hivyo ndivyo wakenya mfikirivyo.
Ukweli ni kwamba mnaweza kua juu yetu kwa baadhi ya mambo lakini sio kwa kila jambo.
Ni sie pia tunaweza kua juu yenu kwa baadhi mambo lakini nachelea kusema tupo juu yenu kwa kila jambo.
says the person living in Tandale slums and eating albino for breakfast😀😀😀😀...mimi nasema ninalolijua kuhusu nchi yangu...sasa sijui wewe unasema nini kuhusu nchi usiyoijua...Bado muongp pia. Maeneo mengi ni mother tongue isipokuwa coast tu ndo asilokia 90% wanaongea kiswahili. Usidanganye watu bwana kuwa mkweli.
Superior in whatmost of us think ni lugha ya kishamba...mostly because we think Kenyans are superior and Tz are inferiors....ndio maana hakuna anyezungumza...
superior in everything except eating albinos and witchcraft😀😀😀😀...anyway on a serious note...if i must say, we have the bigger and richer economy...period! finish!...Superior in what
Uku nchi yenu inauchumi wa wazungu na sio wenu nyie
Tanzania uchumi wake ni from watanzania but kenya ni makampuni ya nje ndo yameshika uchumi wenu
lazima iwe broken English coz sio lugha yetu, tutajisikia vibaya kuongea broken swahil bt sio broken English...hiyo English ipite vileee....ndio tutaendelea..nanyi endeleeni na lugha yenu tukufu ya Kiswahili sanifu...mix it with broken English pia kama mnavojua sana...😀😀😀😀
asante kwa kukubali ukweli wa mambo...😀😀😀lazima iwe broken English coz sio lugha yetu, tutajisikia vibaya kuongea broken swahil bt sio broken English...hiyo English ipite vileee....
Huna unachokijua kuhusu nchi yako. Unaongea utumbo hapa. Tuanijua nchi yako kuliko hata ww. Unakaa kudangnya watu hapa. Wakati mwingine ukija hapa kupngea kitu lazima utulize akili ujue kuna watu wanaijua kenya mpaka mambo ya siri ya kenyasays the person living in Tandale slums and eating albino for breakfast😀😀😀😀...mimi nasema ninalolijua kuhusu nchi yangu...sasa sijui wewe unasema nini kuhusu nchi usiyoijua...
ni kawaida yetu, sisi sio watu wakubadil njano kua nyekundu n tunajivunia chetu, sio watumwa ka nyie, hamjui yakua nguo ya kuazima haistiri matako, huko ulaya wanatuona sisi nyani (Mungu awasamehe hawajui watendalo), so usidhanie kwa kuongea English mmejitoa kwenye unyani na kua sawa na wao, mnajidanganya, racism z always there u better be proud of your own things, coz copying wont help u anyways....u will always be Kenyan and not English....poor u....asante kwa kukubali ukweli wa mambo...😀😀😀
Haya ndo yale mambo ya kushangaa uende marekan af useme hee hawa mbwa/dogs wanaelewa kiingereza..ths is bullshit...its just a language.haina maana sana,wachina na wengine wanaojielewa hawajisifii kutumia lugha za watu,ni africa tuu ndio bado huu umaskin wa akil unatawala. Crazyassniggazutashangazwa! wakenya wengi hata wale wasio na masomo ya juu wanaelewa kiingereza vizuri tu...View attachment 505704
Kuzungumza ndio shida especially wale wakongwe...kama ni vijana, wote wnazungumza Kiingereza hata kama ni mashambani...tuseme kiingereza ya mkenya wa darasa la pili ni bora kuliko ya mtz wa shule ya upili
Hapo umekosa, ni wazi kwamba haujui Kenya na akilini ulikua na picha yako ya vile Kenya hua,.. Kwahivyo ulipoona Ruto anaongea Kiswahili basi ukashangaa.... Kenya iko na literacy rake ya 89% hao wote walifundishwa Kiswahili shuleni kwahivyo wanakijua na kuelewa.....KIswahili kinakua kwa kasi kubwa nchini Kenya. This language is breaking down all the burriers of tribalism in Kenya. Kiswahili kinabomoa kwa kasi ukabila nchini Kenya. Wakenya sasa wako wamoja kwasababu ya matumizi makubwa ya Kiswahi. Kaimu Raisi W. Ruto jana aliongea kiswahili kizuri sana.Hongera sana Ruto kwa kupromot Kiswahili. You are good in Swahili.
Hapana nilitaka niijue kama kingereza kimeweza kuwaunganisha wakenya mbali na makabila yao, ili kufikia hapo ni lazima kitumike kote, nyanja zote, kwa watu wa madaraja yote, si kwa wasomi tu, Tz kiswahili kimefikia hatua hilo.ndio, kujibu swali lako.. Kiswahili kinaunganisha makabila ya Kenya....
Unajisifia kutumia lugha ya mkoloni wako hadi leo?babu zako waliochapwa bakora enzi zile na bib zako waliokua rapped na mkoloni na mateso akisikia hii atahuzunika sana.kweli...wakenya wengi hawana haja na kiswahili sanifu...wanachukulia ni lugha ya kishamba...ndio maana wakatoa Sheng'... nadhani kilitoka kwa kuwadharau watanzania...most kenyans see tanzanians are inferiors and therefore dont want to be associated with them especially through language...
Lugha ya kishamba ingetumika kwenye vifaa vya kielektroniki kama Simu na Kompyuta?Is this supposed to be a surprise? For many decades, Swahili has always been a unifying factor in Kenya...not just now....so is English...although 'Kiswahili Sanifu' is a challenge for many Kenyans except the ones from the coast (wapwani), it brings Kenyans together. many Kenyans prefer to speak English or Sheng' though and not Kiswahili Sanifu kama tz...ni lugha ya kishamba huku