ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Hapa hawataki kabisa kusikia, ila huu ndo ukweli ulio dhahiri kabisa. Tangu 1918 East Africa ikawa chini ya ukoloni wa makoloni mmoja, Mwingereza. Kuanzia hapo maendeleo ya Kenya yalipoanza kutupita, Mwingereza huku akijua kwamba Tanganyika si yake ya kudumu, hakufanya lolote la maana.Kenyans ni sawa na mtoto alierith mali za baba yake halaf anapita mtaani kujitambishia..crazyassniggaz.
Hakujenga viwanda wala shule wala uwekezaji mkubwa hapa, alichuma Tanganyika na kujenga Kenya. Hili wakenya si kwamba hawalijui, bali wanajitia wehu tu kutoliweka wazi. Eti ni kwa akili zao.