Kiswahili is now a unifying factor of Kenya

Isingekua kujituma kwetu, haka kainchi kenye nusu jangwa hakangeongoza Afrika Mashariki na kati kwa kila kitu kielimu, kiuchumi, kijeshi n.k.
Ulimwengu wa sasa jangwa sio issue tena! Kuendelea kulia lia eti jangwa huku mkijisifu mnaongoza kiuchumi sijui wapi ni kijitekenya wenyewe
 
Ha ha haaaaa!


Bahati nzuri kuliko zote suala la madini liko jikoni linapikwa, matokeo yake tutaanza kuyaona mda sio mrefu! Japo tulichelewa kidogo, lakini better late than never!

Korosho na mazao mengine ya kilimo nayo yameanza kuchukuliwa hatua! Kuna vitu serikali yetu na serikali ya Vietnam inaviweka sawa na baadae hii itabaki story kama zilivyo nyingine!

Pamoja na kuwa tuna changamoto kadhaa lakini wakati mkifikiri tumalala mtakuwa mnashangaa zinaisha moja baada ya nyingine na tunawaovertake!

Watch it!
 
Kiswahili ni zao la Afrika mashariki , kiingereza ni cha wenyewe waingereza hii habari ya wakenya kujivunia lugha ya wenyewe wenye lugha yao wanawashangaa!?Malkia anawaona mjue
 
Unajisifia kutumia lugha ya mkoloni wako hadi leo?babu zako waliochapwa bakora enzi zile na bib zako waliokua rapped na mkoloni na mateso akisikia hii atahuzunika sana.
Babu zao walipasuliwa hadi mapumbu na hao english people.
 
Raia mbona tunanufaika pakubwa sana, nchi zote sadc tunaingia pasi na shaka ya makaratasi, unlike you guys, ndio maana mnatuonea gere.
Mnalipa makosa ya vitendo vya mababu zenu wakati wa ukombozi. Karma
 
wewe mbona una wivu kama mwanamke asiyetongozwa?,wanachukua bure ama wanalipa,lkn wapo hapa,wanachukua bure ama wanalipa lkn wamekwekeza kwetu,na wengi wapo hapakwa ajili ya historia,......mnawashwa vinyeo kisa tuko SADC,njooni basi na nyie mchukue bure
 
Superior in what
Uku nchi yenu inauchumi wa wazungu na sio wenu nyie
Tanzania uchumi wake ni from watanzania but kenya ni makampuni ya nje ndo yameshika uchumi wenu


Stupid man. Uchumi gani umeshikwa na Watanzania wakati you own nothing in Dar es Salaam? Indians and Arabs own you like shit. All your big companies are either external (Akina Vodacom) or Indian/Arab (akina Bakhresa). All those hotels in Dar and Arusha you keep bragging of non is owned by black Tanzanians. Kama kuna nchi inayomilikiwa na foreigners East Africa ni Tanzania. Heri Muganda angeongea. At least they have a bigger grasp on their economy
 


Mtu ana gari lake na wewe mwenye unapanda gari yake au utembee mguu unasema ana njaa? Kweli bongolala imelala.
 
Hongera kwa ung'amuzi huo. Sisi TZ tulilijua hilo toka enzi zile tunapata Uhuru.

sometimes I do wonder if these Tanzanian on JF are normal ,things that they post ,threads that they create are so disgusting .someone to help me please ,are these fox insane or normal?,,in the first place who told them that Swahili was invented in Tanzania ,? and who told them that Kenyans don't know Swahili is when they are learning it? watanzania jameni muache kujitia hizi aibu ndogo ndogo ambazo hazina maana ,inafanya muonekane kama wapumbavu wakupindukia .rudini mkasome vitabu chimbuko la kiswahili na muache kujitia aibu.aaii mnafanya hata niogope Kuwa na marafiki watanzania jameni haya mambo gani?
 
Wakenya mna MAHABA na TZ ndo maana mmejaa kila kona ya Tanzania
Mpo mpaka Songea,Njombe,Mbeya. Kenyans are everywhere in TZ. Why dont you remain in your country? Wakenye mmejaa TZ kutafuta nini if your country is good.Acheni ushamba.
 
Ila majirani mko vizuri sana [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Wakenya mnakidharau kiswahili ila siku si nyingi watadai ni chakwenu na nyinyi ndiyo wamekiendeleza kimataifa baada ya kuona kinatoa matunda kama sasa ilivyo kwenye kazi za sanaa mfano bongo flave
 
Sio kweli wapo vijana wengi vijijini kingereza hasa spoken shida. Sio siri kiswahili kinapanda chati Kenya hasa kutokana na kushamiri swahili fm radio na watangazaji mahiri wa lugha hii.
 
Foreigners kwako ni race, naona umemuweka Mzanzibar Bakhresa kama ni si mtanzania, nadhani na akina Dewiji pia wale wanyiramba wa Singida, Azizi Abood mluguru wa Morogoro, Shabiby mkaguru wa gairo wote kwako ni foreigners simply ni waarabu.

Tanzania hauko hivyo, na ulipoambiwa Kenya inamilikiwa na foreigners walimaanisha ni watu wa mataifa mengine si kwa race zao bali utaifa wao.
 
Dhambi ya ubaguzi itawatafuna hadi siku mnaingia kaburini!

Hivi unajua asili ya hao ulowataja au unatoka tu povu hapa bila kujua chochote!

Halafu wewe naona hujijui, Mbona huko kwenu viongozi wa kisiasa wanaongoza kuiba na kufanya mali ya serikali ni yao binafsi?

Angalia Moi family, Kenyatta family, Odinga, wanaiba mali ya serikali yote na kujimilikisha!


Bora sisi hapa, most of tz tycoons hawajawahi kuwa na nyadhifa serikalini, they fight on their own!

Huko kwenu, mali ya umma ndo hugeuzwa ya watu binafsi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…