Kiswahili is now a unifying factor of Kenya

Ndiyo maana Kenya wana ukabila na kubaguana sababu hizohizo za kutotambua kwamba waarabu na wahindi ni wazaliwa wa Tanzania.
 
mapovu mob whilst you don't know shit abt Tz, all hotels na all big companies in Arusha and dsm zipo owned na Indian/ Arabs? That is so wrong and stupid, kwanza kuna hotels kibao nje ya Arusha na dsm. Tz hao waarabu wahindi waliotusua ni wazaliwa wa hapa hapa na ni wachache sana, unlike shamba lenyu la bibi lenye sera za uraia mbili wakati % kubwa ya waZawa mpo kwenye lindi la umaskini.

Kajinyeeni
 

Mnashangaza, mnapondea wa tz ni insane and yet you cant stop logging in JF.
 
Shamba la bibi? Unamaanisha?
 
Shamba la bibi? Unamaanisha?
Wewe unadhani huo msukumo wa nyinyi kuingia epa unatoka wapi, unatoka kwa hao waliomonopoly mashamba yenu majority yenye rutuba na kuotesha maua na chai.
Issue ya epa nyie mnaitazama kimasihara sana ila ni issue kubwa sana jamaa, sababu hadi UN wametoa ushauri msiingie epa, but your government keeps on insisting ilhali tukiweka ushabiki pembeni, kutwo ingia nao huo mkataba wenye hayo masharti ndio move sahihi. Sasa wakenya hamjiulizi who's behind that, alafu mkija huku mnajifanya kutetea serikali yenu, kisa uzalendo. Ambia serikali yenu iweke mdahalo wa hili suala mubashara kwenye maluninga kbc na tbc, proposers from Kenya and opposers from Ug, Tz na UN uone venye watakavohepa.
 
Owning farms ni so 19th century man. there are other things to do
 
He he heee, naona povu linakutoka kweli kweli huku utando mweupe ukiongezeka pembezoni mwa midomo yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].

By the way what are you doing here if the threads that we create keeps disgusting you? Only a moron can can do that! I bet you are such a person!

And kabla sijamaliza, Hakuna mtu kasema kiswahili kilianzia Tz, bali tumesema tunakienzi, Unlike huko kwenu ambapo mkenya Mwenzio anatwambia kuwa mawazo yenu ya kikoloni yanawatuma kutojifunza/kuongea kiswahili kwa kuona lugha ya wakoloni wenu ndo kila kitu!
 
Owning farms ni so 19th century man. there are other things to do
A farm is simply a land! Asilimia kubwa ya ardhi inamilikiwa na a few tycoons huko kwenu! This is a colonial system
 
badala ya kulive in the past, people should move on wapate their own stuff, waache kuwait for the government kuwapea free land
Pale serikali inapotakiwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi, lazima itekeleze with no objections!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…