Wewe unadhani huo msukumo wa nyinyi kuingia epa unatoka wapi, unatoka kwa hao waliomonopoly mashamba yenu majority yenye rutuba na kuotesha maua na chai.
Issue ya epa nyie mnaitazama kimasihara sana ila ni issue kubwa sana jamaa, sababu hadi UN wametoa ushauri msiingie epa, but your government keeps on insisting ilhali tukiweka ushabiki pembeni, kutwo ingia nao huo mkataba wenye hayo masharti ndio move sahihi. Sasa wakenya hamjiulizi who's behind that, alafu mkija huku mnajifanya kutetea serikali yenu, kisa uzalendo. Ambia serikali yenu iweke mdahalo wa hili suala mubashara kwenye maluninga kbc na tbc, proposers from Kenya and opposers from Ug, Tz na UN uone venye watakavohepa.