Kiswahili kilibuniwa pia, sio lugha asili ya Mwafrika

Kiswahili kilibuniwa pia, sio lugha asili ya Mwafrika

Ukiweka na yale ya asili ya kiarabu na kihindi...yanayosalia ni ya makabila mbalimbali pamoja na yanayotokea vijiweni. Si ajabu maana Tanzania yenyewe si imeanza juzi juzi tu. Kabla ya hapo watu walikuwa wakiishi kama isolated tribes or kingdoms wakiwa na lugha zao. Hicho kiswahili nahisi kilitokea baadaye sana, angalau kwa asilimia kubwa ya makabila ya watanzania. Sina hakika wale wa maeneo ya mwambao wa bahari ya hindi na visiwani walianza kutumia kiswahili lini.
Kiswahili ni Kibantu, kina muundo kama wa lugha zingine za Wabantu wa Mashariki, kuchukua maneno kutoka katika lugha zingine ni utaratibu wa lugha yoyote, Kiingereza kimechukua maneno mengi kutoka lugha za Kilatini, Kifaransa na Kigiriki na hakuna anayesema kama ni udhaifu.
Unadai maneno yametoka vijiweni, kwani maneno yanatakiwa kutoka wapi, ynadondoka angani kama mvua? Lugha ni sauti za kusemwa na 'binadamu' kwa madhumuni ya mawasiliano.
 
Hiyo ni mfano wa lugha moja ambazo zilihusika katika kukitengeneza Kiswahili. Humo ndani kuna hadi maneno yaliotoka kwenye lugha zetu za asili.

Kama lugha za asili ni za kibantu basi maneno hayajatoka huko, ni sehemu ya msamiati asili. Inasemekana Wabantu wa MAshariki walisema lugha moja inayofanana hapo kale, mambo ya jiografia, muingiliano na wageni ndio ukaleta hizo tofauti.
Wewe lugha yako ya asili ni ipi, lawmaina78?
 
Last edited by a moderator:

Wazanaki na wamasai ni moja ya misafara ya wabantu!!! kama ndiyo kwanini?.
 
Ufahamu watu tokea mikoani hawakuongea Kiswahili hadi Mwarabu alipotua na pamoja na Wabantu wakabuni Kiswahili. Mimi lugha yangu ya asili ni Kikikuyu, lugha ya Kenya. Huwa nahakikisha wanangu wanakiongea tena kwa ufasaha. Waongea Kikuyu, Kiswahili, Kingereza, Kiluhya (lugha ya mke wangu), halafu shuleni wanapata mafunzo ya ziada ya Kifaransa.
 
Wazanaki na wamasai ni moja ya misafara ya wabantu!!! kama ndiyo kwanini?.

Wamaasai sio Wabantu, kaka naomba usome historia, fanya utafiti ndio uwe na uwezo wa kujadili.
 
Ufahamu watu tokea mikoani hawakuongea Kiswahili hadi Mwarabu alipotua na pamoja na Wabantu wakabuni Kiswahili. Mimi lugha yangu ya asili ni Kikikuyu, lugha ya Kenya. Huwa nahakikisha wanangu wanakiongea tena kwa ufasaha. Waongea Kikuyu, Kiswahili, Kingereza, Kiluhya (lugha ya mke wangu), halafu shuleni wanapata mafunzo ya ziada ya Kifaransa.
Kosa, Kiswahili hakikuja kwa sababu ya Ujio wa Waarabu, watu wa pwani walikuwa na Lugha zao kabla ya kuja kwa wageni ingawa hazikuitwa kwa jina hili, kulikuwa na lugha za Mvita, Mikindani, Mtang'ata, Pate na kadhalika. Lahaja za Kiswahili kama Kimakunduchi na Kingwana(husemwa Kongo) ni kati ya lugha ambazo
hazina kabisa makandokando ya Uarabu lakini bado ni lahaja za Kiswahili.
Kikuyu ni jamii ya Kibantu?
 
Mojawapo ya sifa za lugha kubwa zote duniani ni "kukopa" msamiati wake kutoka lugha zingine! sio kiswahili tu, hata Kiingereza pia kimekopa msamiati kutoka sehemu ama lugha mbali mbali, tena upo uwezekano Kiingereza kimekopa sana kuliko Kiswahili chetu! Bado mkopo wa msamiati si kigezo cha kuinyima lugha tajwa "asili" yake!
Angalia mifano hii ya Kiingereza jinsi kilivojaa msamiati wa mkopo:
Scandinavian
anger, blight, by-law, cake, call, clumsy, doze, egg, fellow, gear, get, give, hale, hit, husband, kick, kill, kilt, kindle, law, low, lump, rag, raise, root, scathe, scorch, score, scowl, scrape, scrub, seat, skill, skin, skirt, sky, sly, take, they, them, their, thrall, thrust, ugly, want, window, wing

  • Place name suffixes: -by, -thorpe, -gate
French

  • Law and government—attorney, bailiff, chancellor, chattel, country, court, crime, defendent, evidence, government, jail, judge, jury, larceny, noble, parliament, plaintiff, plea, prison, revenue, state, tax, verdict
  • Church—abbot, chaplain, chapter, clergy, friar, prayer, preach, priest, religion, sacrament, saint, sermon
  • Nobility—baron, baroness; count, countess; duke, duchess; marquis, marquess; prince, princess; viscount, viscountess; noble, royal (contrast native words: king, queen, earl, lord, lady, knight, kingly, queenly)
  • Military—army, artillery, battle, captain, company, corporal, defense,enemy,marine, navy, sergeant, soldier, volunteer
  • Cooking—beef, boil, broil, butcher, dine, fry, mutton, pork, poultry, roast, salmon, stew, veal
  • Culture and luxury goods—art, bracelet, claret, clarinet, dance, diamond, fashion, fur, jewel, oboe, painting, pendant, satin, ruby, sculpture
  • Other—adventure, change, charge, chart, courage, devout, dignity, enamor, feign, fruit, letter, literature, magic, male, female, mirror, pilgrimage, proud, question, regard, special
Latin

  • agile, abdomen, anatomy, area, capsule, compensate, dexterity, discus, disc/disk, excavate, expensive, fictitious, gradual, habitual, insane, janitor, meditate, notorious, orbit, peninsula, physician, superintendent, ultimate, vindicate
Greek

  • anonymous, atmosphere, autograph, catastrophe, climax, comedy, critic, data, ectasy, history, ostracize, parasite, pneumonia, skeleton, tonic, tragedy
  • Greek bound morphemes: -ism, -ize
Arabic

  • via Spanish—alcove, algebra, zenith, algorithm, almanac, azimuth, alchemy, admiral
  • via other Romance languages—amber, cipher, orange, saffron, sugar, zero, coffee
French
High culture—ballet, bouillabaise, cabernet, cachet, chaise longue, champagne, chic, cognac, corsage, faux pas, nom de plume, quiche, rouge, roulet, sachet, salon, saloon, sang froid, savoir faire

  • War and Military—bastion, brigade, battalion, cavalry, grenade, infantry, pallisade, rebuff, bayonet
  • Other—bigot, chassis, clique, denim, garage, grotesque, jean(s), niche, shock
  • French Canadian—chowder
  • Louisiana French (Cajun)—jambalaya
Spanish

  • armada, adobe, alligator, alpaca, armadillo, barricade, bravado, cannibal, canyon, coyote, desperado, embargo, enchilada, guitar, marijuana, mesa, mosquito, mustang, ranch, taco, tornado, tortilla, vigilante
Italian

  • alto, arsenal, balcony, broccoli, cameo, casino, cupola, duo, fresco, fugue, gazette (via French), ghetto, gondola, grotto, macaroni, madrigal, motto, piano, opera, pantaloons, prima donna, regatta, sequin, soprano, opera, stanza, stucco, studio, tempo, torso, umbrella, viola, violin
  • from Italian American immigrants—cappuccino, espresso, linguini, mafioso, pasta, pizza, ravioli, spaghetti, spumante, zabaglione, zucchini
Dutch

  • Shipping, naval terms—avast, boom, bow, bowsprit, buoy, commodore, cruise, dock, freight, keel, keelhaul, leak, pump, reef, scoop, scour, skipper, sloop, smuggle, splice, tackle, yawl, yacht
  • Cloth industry—bale, cambric, duck (fabric), fuller's earth, mart, nap (of cloth), selvage, spool, stripe
  • Art—easel, etching, landscape, sketch
  • War—beleaguer, holster, freebooter, furlough, onslaught
  • Food and drink—booze, brandy(wine), coleslaw, cookie, cranberry, crullers, gin, hops, stockfish, waffle
  • Other—bugger (orig. French), ----, curl, dollar, scum, split (orig. nautical term), uproar
German

  • bum, dunk, feldspar, quartz, hex, lager, knackwurst, liverwurst, loafer, noodle, poodle, dachshund, pretzel, pinochle, pumpernickel, sauerkraut, schnitzel, zwieback, (beer)stein, lederhosen, dirndl
  • 20th century German loanwords—blitzkrieg, zeppelin, strafe, U-boat, delicatessen, hamburger, frankfurter, wiener, hausfrau, kindergarten, Oktoberfest, schuss, wunderkind, bundt (cake), spritz (cookies), (apple) strudel

Russian

  • apparatchik, borscht, czar/tsar, glasnost, icon, perestroika, vodka
Sanskrit

  • avatar, karma, mahatma, swastika, yoga
Hindi

  • bandanna, bangle, bungalow, chintz, cot, cummerbund, dungaree, juggernaut, jungle, loot, maharaja, nabob, pajamas, punch (the drink), shampoo, thug, kedgeree, jamboree
Dravidian

  • curry, mango, teak, pariah
Persian (Farsi)

  • check, checkmate, chess
Arabic

  • bedouin, emir, jakir, gazelle, giraffe, harem, hashish, lute, minaret, mosque, myrrh, salaam, sirocco, sultan, vizier, bazaar, caravan
African languages

  • banana (via Portuguese), banjo, boogie-woogie, chigger, goober, gorilla, gumbo, jazz, jitterbug, jitters, juke(box), voodoo, yam, zebra, zombie
American Indian languages

  • avocado, cacao, cannibal, canoe, chipmunk, chocolate, chili, hammock, hominy, hurricane, maize, moccasin, moose, papoose, pecan, possum, potato, skunk, squaw, succotash, squash, tamale (via Spanish), teepee, terrapin, tobacco, toboggan, tomahawk, tomato, wigwam, woodchuck
  • (plus thousands of place names, including Ottawa, Toronto, Saskatchewan and the names of more than half the
    states of the U.S., including Michigan, Texas, Nebraska, Illinois)
Chinese

  • chop suey, chow mein, dim sum, ketchup, tea, ginseng, kowtow, litchee
Japanese

  • geisha, hara kiri, judo, jujitsu, kamikaze, karaoke, kimono, samurai, soy, sumo, sushi, tsunami
Pacific Islands

  • bamboo, gingham, rattan, taboo, tattoo, ukulele, boondocks
Australia

  • boomerang, budgerigar, didgeridoo, kangaroo
 
Kosa, Kiswahili hakikuja kwa sababu ya Ujio wa Waarabu, watu wa pwani walikuwa na Lugha zao kabla ya kuja kwa wageni ingawa hazikuitwa kwa jina hili, kulikuwa na lugha za Mvita, Mikindani, Mtang'ata, Pate na kadhalika. Lahaja za Kiswahili kama Kimakunduchi na Kingwana(husemwa Kongo) ni kati ya lugha ambazo
hazina kabisa makandokando ya Uarabu lakini bado ni lahaja za Kiswahili.
Kikuyu ni jamii ya Kibantu?

Kaka naomba uanze na kutafuta maana ya neno Swahili, hapo ndio itakua rahisi kuelewana. Waafrika walikua na lugha zao.

Ndio Kikuyu ni mojawapo wa lugha za Wabantu. Historia inaeleza Wakikuyu tulitokea Magharibi mwa Afrika halafu tukashuka hadi Tanzania ambapo tuliishi kwa kipindi fulani na kuhamia hatimaye hadi Kenya.
 
Mara nyingi nimejikuta nikishambuliwa na wadau kwa ajili sisi Wakenya hupenda kutumia lugha zetu za asili pamoja hata na Kingereza. Watu wengi hupenda kuniambia kwa kutokutumia Kiswahili sana, ina maana mimi mtumwa. Ni muhimu ifahamike hata Kiswahili kilibuniwa tu kama Kingereza na sio lugha yetu ya asili. Jina Swahili linatokana na neno Sahil la kiarabu. Kiswahili kimechanganya humo ndani lugha nyingi, ikiwemo hata Kireno. Umuhimu wa lugha siku zote ni kuelewana, hamna cha utumwa wala nini.

Haya maneno hapa ya Kiswahili yaliotoka kwenye lugha ya Kireno

Dancador - DANGURO
Vinyo - MVINYO
Carta - KARATA
Copas - KOPA
Pao - PAU
Sete - SETI
Trunfo - TURUFU
Tabaquerra - TUMBAKU
Bibo - BIBO
Pera - PERA
Bandeira - BENDARA
Bomba - BOMBA
Boia - BOYA
Buli - BULI
Foronha - FORONYA
Caixa - KASHA
Copo - KOPO
Caraco - KOROSHO
Lenco - LESO
Mesa - MEZA
Padre - PADRI
Peca - PESA
Roda - RODA
Sapata - SAPATU
Sombreiro - SHUMBURERE
Trombeta - TARUMBETA

Hatusemi kubuniwa tunasema ni sauti za nasaba

Shule= Schule(Kijerumani)=School(Kiingereza)=Skuli(Kiswahili cha Unguja)

Lakini herufi za Kiswahili zilibuniwa kutoka lugha ya kiingereza. Ambapo kiingereza kilitokana na kijerumani.
 
Kaka naomba uanze na kutafuta maana ya neno Swahili, hapo ndio itakua rahisi kuelewana. Waafrika walikua na lugha zao.

Ndio Kikuyu ni mojawapo wa lugha za Wabantu. Historia inaeleza Wakikuyu tulitokea Magharibi mwa Afrika halafu tukashuka hadi Tanzania ambapo tuliishi kwa kipindi fulani na kuhamia hatimaye hadi Kenya.

Msamiati wa neno kiswahili, kuudwa kutokana na asili ya kiaarabu, siyo kingezo cha kusema kwamba kiswahili siyo lugha ya kibantu.
 
Kwa nini wamasai, siyo wabantu.

Sina uhakika kwanini huyajui haya, kwani mtaala wa mafunzo Tanzania haugusii historia ya makabila ama vipi. Maana sio wewe tu, ila Wabongo wengi nimeona huwa hawafahamu vikundi vya makabila. Naomba usome tofauti ya Bantus, Nilotes na Cushites.
Wabantu maneno mengi yanafanana, kwa mfano mimi nikiwa Bongo aongee Mhaya hawezi nisengenya kwa kilugha chao sana, kuna maneno atayatumia ambayo yanafanana na ya kwetu. Wimbo wa bahati Bukuku aliimba Kinyakyusa cha Tanzania maneno mengi humo yanafanana na Kikamba, Kikisii za Kenya. Msukuma na Mluhya Kenya wanaendana. Mmaasai na Mkalenjin Kenya hawaachani sana.
 
Mojawapo ya sifa za lugha kubwa zote duniani ni "kukopa" msamiati wake kutoka lugha zingine! sio kiswahili tu, hata Kiingereza pia kimekopa msamiati kutoka sehemu ama lugha mbali mbali, tena upo uwezekano Kiingereza kimekopa sana kuliko Kiswahili chetu! Bado mkopo wa msamiati si kigezo cha kuinyima lugha tajwa "asili" yake!
Angalia mifano hii ya Kiingereza jinsi kilivojaa msamiati wa mkopo:
Scandinavian
anger, blight, by-law, cake, call, clumsy, doze, egg, fellow, gear, get, give, hale, hit, husband, kick, kill, kilt, kindle, law, low, lump, rag, raise, root, scathe, scorch, score, scowl, scrape, scrub, seat, skill, skin, skirt, sky, sly, take, they, them, their, thrall, thrust, ugly, want, window, wing

  • Place name suffixes: -by, -thorpe, -gate
French

  • Law and government-attorney, bailiff, chancellor, chattel, country, court, crime, defendent, evidence, government, jail, judge, jury, larceny, noble, parliament, plaintiff, plea, prison, revenue, state, tax, verdict
  • Church-abbot, chaplain, chapter, clergy, friar, prayer, preach, priest, religion, sacrament, saint, sermon
  • Nobility-baron, baroness; count, countess; duke, duchess; marquis, marquess; prince, princess; viscount, viscountess; noble, royal (contrast native words: king, queen, earl, lord, lady, knight, kingly, queenly)
  • Military-army, artillery, battle, captain, company, corporal, defense,enemy,marine, navy, sergeant, soldier, volunteer
  • Cooking-beef, boil, broil, butcher, dine, fry, mutton, pork, poultry, roast, salmon, stew, veal
  • Culture and luxury goods-art, bracelet, claret, clarinet, dance, diamond, fashion, fur, jewel, oboe, painting, pendant, satin, ruby, sculpture
  • Other-adventure, change, charge, chart, courage, devout, dignity, enamor, feign, fruit, letter, literature, magic, male, female, mirror, pilgrimage, proud, question, regard, special
Latin

  • agile, abdomen, anatomy, area, capsule, compensate, dexterity, discus, disc/disk, excavate, expensive, fictitious, gradual, habitual, insane, janitor, meditate, notorious, orbit, peninsula, physician, superintendent, ultimate, vindicate
Greek

  • anonymous, atmosphere, autograph, catastrophe, climax, comedy, critic, data, ectasy, history, ostracize, parasite, pneumonia, skeleton, tonic, tragedy
  • Greek bound morphemes: -ism, -ize
Arabic

  • via Spanish-alcove, algebra, zenith, algorithm, almanac, azimuth, alchemy, admiral
  • via other Romance languages-amber, cipher, orange, saffron, sugar, zero, coffee
French
High culture-ballet, bouillabaise, cabernet, cachet, chaise longue, champagne, chic, cognac, corsage, faux pas, nom de plume, quiche, rouge, roulet, sachet, salon, saloon, sang froid, savoir faire

  • War and Military-bastion, brigade, battalion, cavalry, grenade, infantry, pallisade, rebuff, bayonet
  • Other-bigot, chassis, clique, denim, garage, grotesque, jean(s), niche, shock
  • French Canadian-chowder
  • Louisiana French (Cajun)-jambalaya
Spanish

  • armada, adobe, alligator, alpaca, armadillo, barricade, bravado, cannibal, canyon, coyote, desperado, embargo, enchilada, guitar, marijuana, mesa, mosquito, mustang, ranch, taco, tornado, tortilla, vigilante
Italian

  • alto, arsenal, balcony, broccoli, cameo, casino, cupola, duo, fresco, fugue, gazette (via French), ghetto, gondola, grotto, macaroni, madrigal, motto, piano, opera, pantaloons, prima donna, regatta, sequin, soprano, opera, stanza, stucco, studio, tempo, torso, umbrella, viola, violin
  • from Italian American immigrants-cappuccino, espresso, linguini, mafioso, pasta, pizza, ravioli, spaghetti, spumante, zabaglione, zucchini
Dutch

  • Shipping, naval terms-avast, boom, bow, bowsprit, buoy, commodore, cruise, dock, freight, keel, keelhaul, leak, pump, reef, scoop, scour, skipper, sloop, smuggle, splice, tackle, yawl, yacht
  • Cloth industry-bale, cambric, duck (fabric), fuller's earth, mart, nap (of cloth), selvage, spool, stripe
  • Art-easel, etching, landscape, sketch
  • War-beleaguer, holster, freebooter, furlough, onslaught
  • Food and drink-booze, brandy(wine), coleslaw, cookie, cranberry, crullers, gin, hops, stockfish, waffle
  • Other-bugger (orig. French), ----, curl, dollar, scum, split (orig. nautical term), uproar
German

  • bum, dunk, feldspar, quartz, hex, lager, knackwurst, liverwurst, loafer, noodle, poodle, dachshund, pretzel, pinochle, pumpernickel, sauerkraut, schnitzel, zwieback, (beer)stein, lederhosen, dirndl
  • 20th century German loanwords-blitzkrieg, zeppelin, strafe, U-boat, delicatessen, hamburger, frankfurter, wiener, hausfrau, kindergarten, Oktoberfest, schuss, wunderkind, bundt (cake), spritz (cookies), (apple) strudel

Russian

  • apparatchik, borscht, czar/tsar, glasnost, icon, perestroika, vodka
Sanskrit

  • avatar, karma, mahatma, swastika, yoga
Hindi

  • bandanna, bangle, bungalow, chintz, cot, cummerbund, dungaree, juggernaut, jungle, loot, maharaja, nabob, pajamas, punch (the drink), shampoo, thug, kedgeree, jamboree
Dravidian

  • curry, mango, teak, pariah
Persian (Farsi)

  • check, checkmate, chess
Arabic

  • bedouin, emir, jakir, gazelle, giraffe, harem, hashish, lute, minaret, mosque, myrrh, salaam, sirocco, sultan, vizier, bazaar, caravan
African languages

  • banana (via Portuguese), banjo, boogie-woogie, chigger, goober, gorilla, gumbo, jazz, jitterbug, jitters, juke(box), voodoo, yam, zebra, zombie
American Indian languages

  • avocado, cacao, cannibal, canoe, chipmunk, chocolate, chili, hammock, hominy, hurricane, maize, moccasin, moose, papoose, pecan, possum, potato, skunk, squaw, succotash, squash, tamale (via Spanish), teepee, terrapin, tobacco, toboggan, tomahawk, tomato, wigwam, woodchuck
  • (plus thousands of place names, including Ottawa, Toronto, Saskatchewan and the names of more than half the
    states of the U.S., including Michigan, Texas, Nebraska, Illinois)
Chinese

  • chop suey, chow mein, dim sum, ketchup, tea, ginseng, kowtow, litchee
Japanese

  • geisha, hara kiri, judo, jujitsu, kamikaze, karaoke, kimono, samurai, soy, sumo, sushi, tsunami
Pacific Islands

  • bamboo, gingham, rattan, taboo, tattoo, ukulele, boondocks
Australia

  • boomerang, budgerigar, didgeridoo, kangaroo

Kaka naona hujanielewa, mimi sikatai Kingereza kwamba hakijabuniwa, ila nasema lugha zinazoshikanisha wafanyi biashara, nyingi huwa za kubuniwa, kwa mfano Kiswahili. Kingereza kimeboreka kwa ajili ya matumizi ya maneno mengi ambayo kilipata tokea lugha zingine. Hivyo hata Kiswahili kinaendelea kukua kwa jinsi hiyo.
 
Hatusemi kubuniwa tunasema ni sauti za nasaba

Shule= Schule(Kijerumani)=School(Kiingereza)=Skuli(Kiswahili cha Unguja)

Lakini herufi za Kiswahili zilibuniwa kutoka lugha ya kiingereza. Ambapo kiingereza kilitokana na kijerumani.

kiswahili kuwa na menono kama hayo,. siyo kingezo kaharibu asili yake.(ubantu wake)

naomba mtu mwenye uelewa anijibu hili swali.

kuna asilimia ngapi ya maneno yanayotokana na kiaarabu, kireno, kifaransa, kingerenza n.k, akijibu hapa ndiyo watu watapata pakuazia..
 
Msamiati wa neno kiswahili, kuudwa kutokana na asili ya kiaarabu, siyo kingezo cha kusema kwamba kiswahili siyo lugha ya kibantu.

Hebu nitajie kabila moja la Wabantu ambalo liliongea Kiswahili tangu jadi. Maana ukifuatilia Pwani yote, kila kabila ina lugha yake ya jadi.
 
kiswahili kuwa na menono kama hayo,. siyo kingezo kaharibu asili yake.(ubantu wake)

naomba mtu mwenye uelewa anijibu hili swali.

kuna asilimia ngapi ya maneno yanayotokana na kiaarabu, kireno, kifaransa, kingerenza n.k, akijibu hapa ndiyo watu watapata pakuazia..

Hili linafahamika kwamba lugha za Bantu ndio zenye asilimia kubwa kwenye Kiswahili, ila ninachosema ni kwamba, kabla ya Kiswahili, Waafrika tulikua na lugha zetu na alipokuja Mwarabu, ili tuweze kuwasiliana kibiashara ikawa lazima pabuniwe lugha na ambayo hadi sasa ndio hiki Kiswahili.
 
Kwanza nakuomba utoe neno inafahamika, maane ndiyo ukweli halisi.

kama ni hivyo, kwa nini usiseme kiaarabu n.k kilisaindia kiswahili kukua na kujitengemea kimsamiati.
 
Kwanza nakuomba utoe neno inafahamika, maane ndiyo ukweli halisi.

kama ni hivyo, kwa nini usiseme kiaarabu n.k kilisaindia kiswahili kukua na kujitengemea kimsamiati.

Nimewapa changamoto mnitajie kabila moja ya Bantu ambayo ilitumia Kiswahili kama lugha yake ya jadi. Maana kabla ya Kiswahili, makabila yote ya Pwani yalikua na lugha zao.
 
Hebu nitajie kabila moja la Wabantu ambalo liliongea Kiswahili tangu jadi. Maana ukifuatilia Pwani yote, kila kabila ina lugha yake ya jadi.

ukifuatilia lahaja za mwambao wa pwani, utaona aibu mwenyewe!
 
Back
Top Bottom