Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makabila yatakusaidia nini wewe?
Ndio wewe kaa na ukabila wako huuuuko kijijini kwenu.mkija town tutawarudisha huuko
Nyerere alifanya vizuri sana nchi inahitaji lugha moja tu...ukitaka lugha ya kwenu rudi ukaishi kijijini..mjini ni kiswahili tu.nchi zote zilizoendelea wana lugha moja tu.
Kaka sidhani kama upo sawa, naona kama unataka kuturudisha nyuma.
Dunia na inakati zinabadilika.
We call it Evolution, ambapo mazingira kiumbe anakuwa exposed ndio huamua kiumbe aweje,
Kama ukitaka hiyo dhana yako iwe practical ni pale maybe tuamue kila mtu arudi akaishi katika ardhi ya Kabila lake which is too awkward,
Mimi nawezasema haya mambo hutokea automatic kadiri nyakati zinavyoenda,
Familia huungana na kuwa ukoo- Kabila- Jamii -Taifa. Utaifa ni Mafanikio makubwa zaidi..
Kumbuka kuwa hakuna Mafanikio Makubwa zaidi katika Jamii zaidi ya Muungano,
Refer USA, RUSIA, UK, CHINA, INDIA,
Sasa kama Mungu alitujalia kiongozi wa kutuunganisha tena Kwa lugha Moja BOLD (Kiswahili) ambayo kwa sehemu kubwa ni Kibantu why not be proud of it?.
Hebu fikiria siku Moja Africa nzima iwe nchi moja inayozungumza Lugha Moja na Rais Mmoja na tuwe na Population Nusu ya Dunia,
Hatuwezi kuwa threat kwa Wazungu?
Narudia, we need to Unite, Unite and Unite to be powerful, Natumaini Kiswahili ndio Lugha pekee itakayoiungansha Africa hata kwa Miaka 100 ijayo.
Katika mipango ya UNESCO nasikia hata engendered languages and cultures vinapewa kipaumbele. Hapa Tz tunawacheka wenzetu eti wana ukabila kwa kutumia kigezo cha kuongea vernaculars zao hadharani tena kwa kuzipenda wakati sisi tukiamini kuwa ni wamoja sababu sote tunaongea Kiswahili. Tulichosahau ni kwamba Mungu muumba nchi na mbingu ni mwenye mapenzi na anapenda viumbe vyote alivyoviumba ikiwa ni pamoja na lugha zao, right kama Mungu angelijua lugha ni mbaya basi asingeziumba! Patamu hapo.
Kwa sababu ukiongelea maadili au values (virtues), hivi vitu vipo kwenye asili zetu na lugha ni spice muhimu sana katika kulinda asili! Hakuna kabila hata moja ambalo kwa asili linachochea chuki na kutopendana. Kuwa na attitude ya kushare mazuri kutoka kwa kabila lingine na kukataa mabaya ndio njia ya kuelekea upatano wa kweli!Watu hawaoni mbali wala hawajitambui, wanadhani kuongea lugha moja na kuua lugha nyingine ndio maendeleo.
Safi sana watu wengi hasa wa bara wao wanaendekeza ukabila.ndio maana ushamba hauwahishiZama za matambiko zilishapita
Bravo Baba wa Taifa Hili Nyerere.
Pia jana nimeshtuka kusikia kuwa KISWAHILI NDIYO LUGHA YA PILI (2) AFRIKA KWA KUWA NA WAZUNGUMZAJI WENGI.
DUNIANI NI YA KUMI (10).
Nenda katambike huko na vijilugha vyenu huko.Katika mipango ya UNESCO nasikia hata engendered languages and cultures vinapewa kipaumbele. Hapa Tz tunawacheka wenzetu eti wana ukabila kwa kutumia kigezo cha kuongea vernaculars zao hadharani tena kwa kuzipenda wakati sisi tukiamini kuwa ni wamoja sababu sote tunaongea Kiswahili. Tulichosahau ni kwamba Mungu muumba nchi na mbingu ni mwenye mapenzi na anapenda viumbe vyote alivyoviumba ikiwa ni pamoja na lugha zao, right kama Mungu angelijua lugha ni mbaya basi asingeziumba! Patamu hapo.
Unataka kutambika?Tokea lini mtu kuongea lugha yake ikawa ni kurudi nyuma? Kuniambia kuwa Kiswahili (hata jina lenyewe la lugha ni kiarabu) ni lugha yangu na kunikatisha tamaa kuongea lugha yangu ya asili haiwezi kuwa sahihi katika muktadha wowote.
Umewahi kujiuliza maneno mapya ya Kiswahili yanatoka wapi ...si ni kwenye hivi vilugha!?Nenda katambike huko na vijilugha vyenu huko.
Kwanini unaweka UNESCO kama reference?Katika mipango ya UNESCO nasikia hata engendered languages and cultures vinapewa kipaumbele. Hapa Tz tunawacheka wenzetu eti wana ukabila kwa kutumia kigezo cha kuongea vernaculars zao hadharani tena kwa kuzipenda wakati sisi tukiamini kuwa ni wamoja sababu sote tunaongea Kiswahili. Tulichosahau ni kwamba Mungu muumba nchi na mbingu ni mwenye mapenzi na anapenda viumbe vyote alivyoviumba ikiwa ni pamoja na lugha zao, right kama Mungu angelijua lugha ni mbaya basi asingeziumba! Patamu hapo.
Can you tell me one, (only one) TANGIBLE thing I'll get after promoting my Beautiful Kihehe in Public ?Tokea lini mtu kuongea lugha yake ikawa ni kurudi nyuma? Kuniambia kuwa Kiswahili (hata jina lenyewe la lugha ni kiarabu) ni lugha yangu na kunikatisha tamaa kuongea lugha yangu ya asili haiwezi kuwa sahihi katika muktadha wowote.
Lugha za makabila yetu zina mchango upi katika maendeleo? Hebu nidadavulie kidogo twende sawa.Watu hawaoni mbali wala hawajitambui, wanadhani kuongea lugha moja na kuua lugha nyingine ndio maendeleo.