Hapana kwenye hiyo bolded hauko shaihi. Hapa hauko sahihi, mimi nakukatlia. Kwani ulimbukeni ni nini? Ulimbukeni ni tabia ya mtu kufanya jambo katika namna ambayo inamwonyesha kuwa yeye ni kama mtu wa kwanza kulifanya, wakati jambo hilo linaeleweka na kuzoeleka na watu wengi kiasi kwamba si geni kwao. Kwa hiyo huyu limbukeni yeye huwa anakuwa haelewi hilo, ila yeye anaona kama anafanya jambo jipya na ambalo wengi hawalijui au hawajawahi kulifanya.Hakuna mwana-adamu aliye juu ya mtego wa ulimbukeni,
Heck, hakuna kujua hata kwamba hakuna kujua!
"A silent fool is considered wise".Ajuaye mengi, hasemi mengi
Who knows more speaks less
Empty vessels make the loudest noise
Kama kuna vitu tunavifanya kwa mara ya kwanza kwenye maisha, hapo ndo kuna kulimbuka.Hapana kwenye hiyo bolded hauko shaihi. Hapa hauko sahihi, mimi nakukatlia. Kwani ulimbukeni ni nini? Ulimbukeni ni tabia ya mtu kufanya jambo katika namna ambayo inamwonyesha kuwa yeye ni kama mtu wa kwanza kulifanya, wakati jambo hilo linaeleweka na kuzoeleka na watu wengi kiasi kwamba si geni kwao. Kwa hiyo huyu limbukeni yeye huwa anakuwa haelewi hilo, ila yeye anaona kama anafanya jambo jipya na ambalo wengi hawalijui au hawajawahi kulifanya.
Kwa mantiki hii basi, watu ambao ni malimbukeni, ni wachache sana na si kweli kwamba wengi wanaweza kuangukia kwenye mtego huo. Ni sawa kuwa wapo ila siyo wengi
Waaarabu ndiyo wameiga kiswahili! na kukopa maneno! tangu zamani kiswahili kimebadilika jina tu lkn kwa asili ni ki-Summeria kilicho ongewa kama Lugha rasmi Mesopotamia ya kale,Sasa, hii (sijui niite dosari) favouritism ya Uarabu dhidi ya Ubantu inatokana na nini, is it the case for inferiority complex ya aina fulani hivi, elimu au nini haswa?! Kwanini tunaenzi sana maneno kutoka Kiarabu kuliko maneno ambayo yana maana ileile kutoka lugha zetu za Kibantu. Seriously, I think there is an over-arabization of Kiswahili from its conception to this day.
Wote mmekosea Kufanya kitu kwa Shauku siyo ulimbukeni, umejuaje kuwa yeye anajua kuwa, yeye ndiyo wa kwanza kulifanya hilo jambo jipya?Kwani ulimbukeni ni nini? Ulimbukeni ni tabia ya mtu kufanya jambo katika namna ambayo inamwonyesha kuwa yeye ni kama mtu wa kwanza kulifanya, wakati jambo hilo linaeleweka na kuzoeleka na watu wengi kiasi kwamba si geni kwao. Kwa hiyo huyu limbukeni yeye huwa anakuwa haelewi hilo, ila yeye anaona kama anafanya jambo jipya na
Unaweza kunitajia maneno ambayo Waarabu wameiga toka kwenye Kiswahili na ilikuwa lini ?Waaarabu ndiyo wameiga kiswahili! na kukopa maneno! tangu zamani kiswahili kimebadilika jina tu lkn kwa asili ni ki-Summeria kilicho ongewa kama Lugha rasmi Mesopotamia ya kale,
Nikivaa sweta au koti langu katikati ya jiji, nakatiza mitaa, bila shaka Narrow minded wataniona ni limbukeni naonyesha uzuri wa sweta langu la South, eti anatulingishia kaishi bondeni, kumbe nina Malaria, na baridi ni dalili kubwa ya Malaria,UKIWA UNAONYESHA KAMA KWAMBA wewe ni wa kwanza kulifanya. Sijasema kuwa ulimbukeni ni kufanya jambo kwa mara ya kwanza. Please get me correctly!
Haya ni mambo ya 400 BC, Nomino, Mofimu, muundo wa sentesi na maana, vitenzi nk vina shabihiana na kibantu. muda hautoshi nakupa kwa kifupiUnaweza kunitajia maneno ambayo Waarabu wameiga toka kwenye Kiswahili na ilikuwa lini ?
Je hi tamko "Swahili" kiasili ni la Waswahili au ?
Summeria sarufi yake ikoje ? Maana kwenye Kiswahili hakuna mfatano wa heruki mbili zenye sukuun (Zisizo tamkika, kama "mm....)
Maadam la pili hatujamaliza, la kwanza haliepukiki.Kiranga,
Nimesema hivi: ulimbukeni nii kufanya jambo UKIWA UNAONYESHA KAMA KWAMBA wewe ni wa kwanza kulifanya. Sijasema kuwa ulimbukeni ni kufanya jambo kwa mara ya kwanza. Please get me correctly!
Kwanza kabisa napenda nianze kwa kukiri kuwa Kiswahili bado ni lugha inayonipiga chenga pahala pengi. Hivyo kuna pahala pengi katika hoja yangu nitachanganya na lugha ya Kiingereza, pamoja na kwamba ningelipenda sana kuepuka. Lakini hilo lingewezekana tu kama ningelikuwa na muda na uwezo wa kupangilia na kukumbuka maneno fasaha ya kutumia.
Pia nakili kuwa hii hoja sijaifanyia utafiti madhubuti kuhakikisha kuwa ina vielelezo vya kutosha ili kuchanganua na kufafanua mifano mbalimbali ambayo inaweza kutumika kuikoleza na kuipa msingi zaidi hoja yenyewe. Ni imani yangu kuwa wale walio bobea kwenye maswala ya lugha wanaweza kuiendeleza zaidi. Shukrani.
------------------ ***** --------------
Nitaanza;
Nikisema 'ngoko' au 'nkoko' Wasukuma, Wahaya na ninaamini makabila mengine mengi ya Tanzania wataelewa kuwa ninalotaka kulitaja ni jina la ndege tumjuaye kama 'kuku' kwa Kiswahili. Si makabila ya Tanzania tu, bali Wabemba wa Zambia, Washona wa Zimbabwe, Baganda wa Uganda nao wangelielewa.
Nikisema 'nzoka' au 'nyoka' vivyo hivyo makabila mengi yenye asili ya Kibantu yatanielewa.
Sawa, lugha nyingi zinakua na kuendelea kwa kuazima maneno kutoka kwenye lugha nyingine. Na maneno mengine yanajitokeza na kukua na kukubalika kama moja ya maneno ya lugha fulani kutokana na mazingira yanayozungukuka jamii.
Maneno kama 'swahiba', 'mstakabali', na mengine mengi yenye kusikika na kutamkwa kwa lafudhi ya pwani asili yake kubwa ni kutoka Kiarabu. Na ukweli wa mambo ni kwamba chimbuko la lugha ya Kiswahili ni lugha ya Kiarabu.
Hoja yangu: Je, chimbuko la lugha yetu ambayo tumerithi, tumejifunza, tumeikuza na kuienzi ndiyo kipimo pekee cha uhalisia wa maneno tuyatumiayo katika Kiswahili chetu?
Kimfano, nasema hivi kwani leo hii nikija na neno fulani hivi kutoka katika lugha ya Kihaya na neno hilo hilo kuwa tafsiri ya kitu ambacho kinapatikana Uhayani lakini hakipatikani katika Pwani, lakini hapo hapo kitu hicho kikabahatika kuwa na tafsiri yake katika lugha ya Kiarabu; uwezekano wa neno la Kiswahili kutumia (au hata kunyambulisha tu hilo neno la Kihaya ili iwe tafsiri yake katika Kiswahili) neno la Kihaya ni mdogo kuliko ambavyo urithi au ukubalianaji wa tafsri ya neno hilo ungelikuwa ule wa kutoka kwenye neno la Kiarabu.
Sasa, hii (sijui niite dosari) favouritism ya Uarabu dhidi ya Ubantu inatokana na nini, is it the case for inferiority complex ya aina fulani hivi, elimu au nini haswa?! Kwanini tunaenzi sana maneno kutoka Kiarabu kuliko maneno ambayo yana maana ileile kutoka lugha zetu za Kibantu. Seriously, I think there is an over-arabization of Kiswahili from its conception to this day.
"Akhsanteni", "Shukrani", natanguliza "Fadhila" zangu, au basi niseme... "ndaga fijo", "mwabeja"?!
SteveD.
MICHANGO ILIYOTOLEWA NA WADAU:
===
===