Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nimeona mjadala mrefu huko mtandaoni wanawake kwa wanaume watu wazima kabisa wako busy wanabishana na kusutana kama inapaswa kuaga au kuomba ruhusa waume/wapenzi wao wanapotoka nyumbani!
Kuna mambo mengine ni mijadala ya kitoto au ki- teenager sana kama ile ya "education is better than money" ya watu wakiwa wanasoma O-level.
Hivi kweli karne hii na hasa kwa watu wazima wanaoweza kuingia hadi mtandaoni sio ujima na udumavu wa akili kubishania mambo kama ya mwanamke kuaga au kutoaga akitoka, nani anatakiwa kulipia first date, kufua, kupika au kuogesha watoto? Mbona hivi ni vitu petty sana!