saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
mwehu mwingine huyu hapaKiswahili kimesaidia nini Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwehu mwingine huyu hapaKiswahili kimesaidia nini Tanzania?
Aliyemaliza darasa la Saba 1999 kurudi nyuma,Hana shida ya kuandika na kutamka maneno ya kiswahili,hao ni kizazi kilichomaliza elimu ya msingi 2000s,hicho kizazi ni shida sanaWatu wa stationery hao. Ili nao walitakiwa walikague
Aliyemaliza darasa la Saba 1999 kurudi nyuma,Hana shida ya kuandika na kutamka maneno ya kiswahili,hao ni kizazi kilichomaliza elimu ya msingi 2000s,hicho kizazi ni shida sanaWatu wa stationery hao. Ili nao walitakiwa walikague
inamankuswekeWe pumbavu kweli...hii nchi Ina shida sana,na wewe ni msomi tu!!
Akili kubwa hii,umemaliza kila kitu japo sio 100% kwani Kuna ambao wamemaliza kipindi ulichokitaja lakini 'wanapuyanga" tu kwenye matumizi ya lughaAliyemaliza darasa la Saba 1999 kurudi nyuma,Hana shida ya kuandika na kutamka maneno ya kiswahili,hao ni kizazi kilichomaliza elimu ya msingi 2000s,hicho kizazi ni shida sana
Ofisi gani hapa Tanzania wanaongea kiingereza?Aje atuelezee kwa undani...
Maana kiswahili kimeishia kuongelewa mtaani ofisini ni kingereza...
Hakitambuliki wanalazimisha [emoji1787][emoji1787]
Kama ulikuwa karibu na Hassan Bumbuli na unaandika Kiswahili hivi,basi wewe ni kenge kabisa!Binafsi niliwai kua karibu na mwanahabari kaka angu Hasan Bumbuli (HB)
Sio Siri Huyu jamaa ni miongoni wa wahariri Bora sana wa muda wote hapa Africa mashariki na kati na hapa Nchini kwetu Tanzania...
NB.
Fuatilia kazi zake tangu FEMINA MAGAZINE pia Kwenye magazeti aliyo wai kufanya nayo kazi...
Wapo wahariri wengine wengi tu wazuri hapa Nchini Tanzania....nimetoa huu mfano wa Bumbuli sabb nimewai kua nae Kwa ukarib sana wakati Fulani (Moment for life)
Bila uchumi imara hamna kitu..!! We fikiria tu redio ya kwenye IST inakutoa jasho kisa lugha..!!Kutumika kama lugha ya mawasiliano kitaifa na kutufanya tuzungumze lugha moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikikejeli Kiswahili, ni lugha ya Taifa!Fikiria mtu kasoma degree, ila akiitwa kwenye interview anatokwa jasho tena jembamba...
Vyeti vyake vizuri tu, ila anaogopa kupigwa maswali ya kingereza...
Wengine wanakosa kazi kwakuwa hawajaelewa maswali...
Maana sio lugha aliyoizoea...
Kiswahili kiwe lugha ya mtaani tu, darasani kingereza...
Bila shaka umevaa suti na tai licha ya joto lote hili...ni vizuri kutojadiliana na wewe, hufikiriinamankusweke
Jina lako pekee linasadifu uliyo ya jaza kichwani mwako....
Hicho kichwa ni mzigo wa mabega na miguu yaan nikama umebeba boga kubwa au tikiti maji...
Kuendeleza mabishano na mzozo na wewe kwangu ni kama kurusha jiwe juu ya tray 📥📤 za mayai....
Am out
Magazeti yetu karibu yote ya Kiswahili isipokuwa Mwana Halisi na Jamhuri ni Tabloids. Nilikuwa nawaheshimu Mwananchi nikidhani ni gazeti serious kumbe nalo ni tabloid.Hao hawana hata proof reader?
Ukiona hivyo ujue ni gazeti la kihuni tu
Kusaini mikataba lukuki kama vile "Dee Pee W3rld" bila kusumbuliwa.Kiswahili kimesaidia nini Tanzania?
Haya mambo yameingia hadi kwenye taasisi na mamlaka nyeti katika nchi yetu, wanaandika ovyo ovyo tu.Miaka ya zamani waandishi wa habari walikuwa wanatumia kiswahili kizuri sana,
Waandishi wa sasa inafika wakati anaandika neno " kusubutu" !! na mhariri anaipitisha!?View attachment 2808431
Moja ya faida ya Kiswahili ni kwa wewe kuwasilisha hii comment yako hapa kwa Kiswahili na sio kichinaKiswahili kimesaidia nini Tanzania?