Kiswahili kinazidi kuharibiwa

Kiswahili kinazidi kuharibiwa

Watu wa stationery hao. Ili nao walitakiwa walikague
Aliyemaliza darasa la Saba 1999 kurudi nyuma,Hana shida ya kuandika na kutamka maneno ya kiswahili,hao ni kizazi kilichomaliza elimu ya msingi 2000s,hicho kizazi ni shida sana
 
We pumbavu kweli...hii nchi Ina shida sana,na wewe ni msomi tu!!
inamankusweke

Jina lako pekee linasadifu uliyo ya jaza kichwani mwako....

Hicho kichwa ni mzigo wa mabega na miguu yaan nikama umebeba boga kubwa au tikiti maji...

Kuendeleza mabishano na mzozo na wewe kwangu ni kama kurusha jiwe juu ya tray 📥📤 za mayai....

Am out
 
Aliyemaliza darasa la Saba 1999 kurudi nyuma,Hana shida ya kuandika na kutamka maneno ya kiswahili,hao ni kizazi kilichomaliza elimu ya msingi 2000s,hicho kizazi ni shida sana
Akili kubwa hii,umemaliza kila kitu japo sio 100% kwani Kuna ambao wamemaliza kipindi ulichokitaja lakini 'wanapuyanga" tu kwenye matumizi ya lugha

unakuta mtu anakwambia "mwisho wa siku nikafanikiwa kusafiri..." Sasa hapo Kuna lugha sanifu kweli? yaani kachukua neno "at the end of the day" kisha akali"tohoa" kwa kiswahili
 
Aje atuelezee kwa undani...

Maana kiswahili kimeishia kuongelewa mtaani ofisini ni kingereza...

Hakitambuliki wanalazimisha [emoji1787][emoji1787]
Ofisi gani hapa Tanzania wanaongea kiingereza?
Itaje maana ofisi zote nilizoenda wanaongea kiswahili.
 
Binafsi niliwai kua karibu na mwanahabari kaka angu Hasan Bumbuli (HB)
Sio Siri Huyu jamaa ni miongoni wa wahariri Bora sana wa muda wote hapa Africa mashariki na kati na hapa Nchini kwetu Tanzania...

NB.
Fuatilia kazi zake tangu FEMINA MAGAZINE pia Kwenye magazeti aliyo wai kufanya nayo kazi...

Wapo wahariri wengine wengi tu wazuri hapa Nchini Tanzania....nimetoa huu mfano wa Bumbuli sabb nimewai kua nae Kwa ukarib sana wakati Fulani (Moment for life)
Kama ulikuwa karibu na Hassan Bumbuli na unaandika Kiswahili hivi,basi wewe ni kenge kabisa!
 
Yaani kwenye vyombo vya habari ni "kichefuchefu" kwa kweli,ni kuibagaza lugha kwa kwenda mbele,"ukanjanja" asilimia 100
waandishi na watangazaji bongo ni hasara kwa kweli,hakuna afadhali ya wakongwe wala wageni ni uvundo tu
we mwandishi akiongea Maneno mawili la tatu utasikia " hata hivyo..." Ni wakuonea huruma kwa kweli hawajui matumizi ya lugha hata kidogo
 
Fikiria mtu kasoma degree, ila akiitwa kwenye interview anatokwa jasho tena jembamba...

Vyeti vyake vizuri tu, ila anaogopa kupigwa maswali ya kingereza...

Wengine wanakosa kazi kwakuwa hawajaelewa maswali...

Maana sio lugha aliyoizoea...

Kiswahili kiwe lugha ya mtaani tu, darasani kingereza...
Sikikejeli Kiswahili, ni lugha ya Taifa!

Lakini kukimudu Kiingereza ina raha yake!
 
inamankusweke

Jina lako pekee linasadifu uliyo ya jaza kichwani mwako....

Hicho kichwa ni mzigo wa mabega na miguu yaan nikama umebeba boga kubwa au tikiti maji...

Kuendeleza mabishano na mzozo na wewe kwangu ni kama kurusha jiwe juu ya tray 📥📤 za mayai....

Am out
Bila shaka umevaa suti na tai licha ya joto lote hili...ni vizuri kutojadiliana na wewe, hufikiri
 
Hao hawana hata proof reader?
Ukiona hivyo ujue ni gazeti la kihuni tu
Magazeti yetu karibu yote ya Kiswahili isipokuwa Mwana Halisi na Jamhuri ni Tabloids. Nilikuwa nawaheshimu Mwananchi nikidhani ni gazeti serious kumbe nalo ni tabloid.
 
Miaka ya zamani waandishi wa habari walikuwa wanatumia kiswahili kizuri sana,
Waandishi wa sasa inafika wakati anaandika neno " kusubutu" !! na mhariri anaipitisha!?View attachment 2808431
Haya mambo yameingia hadi kwenye taasisi na mamlaka nyeti katika nchi yetu, wanaandika ovyo ovyo tu.
Screenshot_20240112-105540_Chrome.jpg
 
Halafu kuna hawa wanaotumia "mlaji wa mwisho" akiwa ametohoa kutoka kwenye "final consumer"
 
Back
Top Bottom