Kiswahili kumbe hakieleweki hata hapo kwa jirani Malawi, tunakikuza kuliko uhalisia, ni ajabu

Kiswahili kumbe hakieleweki hata hapo kwa jirani Malawi, tunakikuza kuliko uhalisia, ni ajabu

Malawi official ni ngapi?
Chichewa ni national language ambayo ni 50% inatumika Malawi,na English ni official language......ila kwa uzoefu wangu wa kuwahi pita pita mitaa ya karonga,chitipa,Zomba.......Lugha ya Kitumbuka na Kinyanja kinatumika pia,maana ukisikiliza radio MBC taarifa ya habari inasomwa kwa lugha zote hizo
 
Mkuu naisha area 43 Lilongwe,hapo kabla nilikuwa naishi Blantyre Eneo la Sunnyside barabara ya kwenda Manyowe so mengine nakuelewa mengine naona nyota nyota tu
 
Mkuu naheshimu sana maoni yako. Kiswahili kinazungumzwa katika nchi nyingi ingawa sio kama Kiingereza, Kifaransa na Kiarabu. Kutafsiri lugha moja kwenda nyengine ina maana zaidi ya kwamba lugha hiyo haieleweki, hivyo na Kiswahili ni vivyo hivyo. Lugha ya Taifa Malawi si Kiswahili wala Kiswahili sio lugha nchini humo, hivyo wananchi wanatafsiriwa ama kwa lugha ya taifa au lugha rasmi. Nakipenda Kiswahili. Hongera uncle kwa hili hata kama lugha ya mama inakupiga chenga, hapa umeonesha njia.
Ivi mbona mnasifia hata ujinga? Kiswahili ni lugha ya ndani ya nchi huko nje niyakubahatisha tu. Hawa viongozi watoto wao wapo Kenya Uganda na huko ulaya kujifunza lugha hii ya dunia ww endelea kusifia tu mwisho utajua umechelewa
 
Hata mipakani ni wachache sana
Sawa! Huko Malawi, Msumbiji, Zambia Kiswahili huzungumzwa hasa mipakani mwa hizo nchi na Tz hasa na wafanyabiashara kutoka huko au raia wenye kukifahamu ila huko kwingine hutumia lugha zao tu.
 
Ivi mbona mnasifia hata ujinga? Kiswahili ni lugha ya ndani ya nchi huko nje niyakubahatisha tu. Hawa viongozi watoto wao wapo Kenya Uganda na huko ulaya kujifunza lugha hii ya dunia ww endelea kusifia tu mwisho utajua umechelewa
Mkuu unaonekana huelewi hii lugha na hivyo inawezekana na hiyo nyingone pia huielewi. Nimejenga hoja kwamba kufasiri lugha moja kwenda nyingine haina maana kuwa hiyoblugha haieleweki na kwamba hufasiriwa ili kuipeleka kwenye lugha ya taifa au lugha rasmi ya nchi nyingine. Swala la viongozi kusomesha watoto wao nje ya nchi ni swala jingine kabisa. Kitendo cha uncle kuzungumza Kiswahili, iwe anajua au hajui Kiingereza, kwangu ni kukikuza Kiswahili
 
Sasa kama lugha inaeleweka na wengi point ya Kuitafsiri ni nini?

Lengo kuu la kugha ni kuwasiliana, kama inaeleweka iwe official ama sio official kama inaeleweka mkalimani haitajiki

Na simaanishi kuwa Malawi hawaelewi Kiswahili wote, ila wanaoielewa ni wachache
Hivi mkuu hujapata kuona hapa Tanzania hotuba ya Kiingereza kutafsiriwa kwa Kiswahili?
 
Unaweza tangazia familia yako na mambo yakaenda vizuri tu, embu niambia ni kabila gani wahusika wamelitelekeza na kujiita waswahili.

Huwezi kuona maana huna macho au unayo ila unafanya makusudi!

Alichofanya Nyerere ni ku-criminalize makabila na origins za watu na kujenga artificial kabila linaloitwa Watanzania which is a serious blunder!

Huwezi criminalize origins za watu walizojenga miaka 3000 iliyopita halafu ukaja kupata kitu concrete,utapata taifa feki kama lilivyo Tanzania!

Mtu hawezi ongea lugha yake ya asili halafu ukam-penalize au kumcheka,unataka aongee Kiswahili kwa lazima hata kama yupo kijijini kwake!

Huwezi kumtukana mtu kwa kuongea lugha walizoongea blood ancestors wake milenia na milenia zilizopita kwa lugha feki isiyokua na misingi ya kiasili kama Kiswahili

Ndio maana Wakenya watakua wazalendo kwa Kenya yao zaidi ya sisi Watanzania na Tanzania...Sababu mizizi ya mababu zetu na mila zao pamoja na lugha zao CCM imezikata na kujangea utamaduni feki wa Kiswahili

Waache watu na asili zao,then wajengee federation ya serikali kuu,sio unawavuruga for sake of a stupid Swahili tradition which is Arabic by the way!

Fvck CCM!

Ndio maana Lee kuan Yew alikua na akili na mafanikio makubwa zaidi ya Nyerere!
 
Sasa wewe unapata wapi ujasiri cha kumcheka asiyejua kiingereza!!!! Kama kaamja kukomaa na kiswahili???
 
Sasa wewe unapata wapi ujasiri cha kumcheka asiyejua kiingereza!!!! Kama kaamja kukomaa na kiswahili???

Kiswahili ni kama Kinyakyusa au Kisukuma au Kimasai,etc

Alichofanya Nyerere ni kubagua lugha zingine zote na kukipa cheo Kiswahili over other languages of which kuna price we are paying now!

Anaejua Kiingereza ni bora zaidi ya wewe wa Kiswahili maana ndio lugha ya dunia....

Anaweza kwenda kokote na kufanya biashara kokote au kuajiriwa popote...

Hujui Kiingereza basi wewe ni bomu tu!

Kama nchi tungechagua Kiingereza kama native/lingua franca ya nchi!

Mnajifanya ni nchi ya Kiswahili,ila kuanzia primary school mpaka chuo kikuu mnasoma kwa Kiingereza,mnaishia kua shallow kote kote,we are loosers sababu ya viongozi loosers1
 
Hivi mkuu hujapata kuona hapa Tanzania hotuba ya Kiingereza kutafsiriwa kwa Kiswahili?
Hotuba ya Kiingereza inatafsiriwa kwa Kiswahili hapa Tz kwa kuwa Watanzania wengi hawajui English, the same applies for Malawi
 
Punguza stress twende sawa mkuu.

Kwahiyo kujua kiingereza ni kuajiriwa au kufanya biashara popote!!!! Unajua china, india au japan kuna madactary hawajui kabisa kiingereza!!! Na wanatibu watu wanapona!!!

Umeishawahi kukutana na eng wa kichina???
Kiswahili ni kama Kinyakyusa au Kisukuma au Kimasai,etc

Alichofanya Nyerere ni kubagua lugha zingine zote na kukipa cheo Kiswahili over other languages of which kuna price we are paying now!

Anaejua Kiingereza ni bora zaidi ya wewe wa Kiswahili maana ndio lugha ya dunia....

Anaweza kwenda kokote na kufanya biashara kokote au kuajiriwa popote...

Hujui Kiingereza basi wewe ni bomu tu!

Kama nchi tungechagua Kiingereza kama native/lingua franca ya nchi!

Mnajifanya ni nchi ya Kiswahili,ila kuanzia primary school mpaka chuo kikuu mnasoma kwa Kiingereza,mnaishia kua shallow kote kote,we are loosers sababu ya viongozi loosers1
 
Punguza stree twende sawa mkuu.

"tree" ndio nini?

Jifunze lugha na uandike vitu kwa usahihi

Kwahiyo kujua kiingereza ni kuajiriwa au kufanya biashara popote!!!!
Ndio!

Kama unabisha andamana!

Unajua china, india au japan kuna madactary hawajui kabisa kiingereza!!! Na wanatibu watu wanapona!!!
Mifano ya kipumbavu kabisa!

Daktari wa Kichina na Kijapan anatibu watu wasiojua Kijapan au Kichina duniani popote bila tatizo?

Atapataje patient history?Atapataje patient feedback?Ata-prescribe drugs kwa mgonjwa kwa kutumia lugha gani?

Are you insane?

Unajua kitu kinaitwa 'Language Barrier'?

Elewa stronger nation haina haja ya kujua lugha ya weaker nations....

Power axis inadai ni lazima weaker nations zichukue languages za stronger nations ili zifanye Technology Transfer,etc!

Bila hivyo hakuna kitu....

Kutoka ancient civilizations mfano Romans,Egyptians,Greeks,English,etc lugha zinazo run dunia zimebadilika kuendana na zama,sasa ni zama ya Americans,anaejua Kiingereza ndio yupo duniani!

Defacto lingua franca ya dunia kutokana na power axis ni Western English values,the soft power rulling the world ni American culture ambapo ina include English language!

Hujui Kiingereza wewe kiazi utaenda kufanya biashara nchi gani au kuajiriwa mahali gani dunia hii na wewe ni linguistically handcapped?

Yaani sijui mnaongea mapumba gani nyie!

Utawasiliana vipi kwenye ofisi za hayo makampuni uliyoajiriwa huko duniani?Utaongea na employees walioko nawe kwa kutumia nini?Kiswahili?

Bure kabisa,mnafanya utani kwenye vitu serious!
 
"tree" ndio nini?

Jifunze lugha na uandike vitu kwa usahihi

Ndio!

Kama unabisha andamana!

Mifano ya kipumbavu kabisa!

Daktari wa Kichina na Kijapan anatibu watu wasiojua Kijapan au Kichina duniani popote bila tatizo?

Are you insane?

Unajua kitu kinaitwa 'Language Barrier'?

Elewa stronger nationa haina haja ya kujua lugha ya weaker nations....

Power axis inadai ni lazima weaker nations zichukue languages za stronger nations ili zifanye Technology Transfer,etc!

Defacto lingua franca ya dunia kutokana na power axis ni Western English values,the soft power rulling the world ni American culture ambapo ina include English language!

Hujui Kiingereza wewe kiazi utaenda kufanya biashara nchi gani au kuajiriwa mahali gani dunia hii na wewe ni linguistically handcapped?

Yaani sijui mnaongea mapumba gani nyie!

Utawasiliana vipi kwenye ofisi za hayo makampuni uliyoajiriwa huko duniani?Utaongea na employees walioko nawe kwa kutumia nini?Kiswahili?

Bure kabisa,mnafanya utani kwenye vitu serious!
Utakuta wewe ni msomi na taasisi fulani inakutegemea[emoji22][emoji22][emoji22].
 
Utakuta wewe ni msomi na taasisi fulani inakutegemea[emoji22][emoji22][emoji22].

Na wewe ni nani kwa mfano?

Usijipe ubora usiokua nao!

Ni kichaa pekee yake anaesema eti anaweza kwenda nchi yoyote bila kujua Kiingereza au lugha ya nchi ile na kufanya kazi na biashara bila tatizo!

Ni vichaa pekee yake!
 
Nashukuru umejua tatizo lako lilipo, kwa sasa china imeshatawala soko la africa lenye mamia ya lugha tofauti, japan inaingiza magari na redio yaliyoandikwa kijapan, no one cares. Unazungumzia biashara gani!!!bangiri za kimasai???
 
Hotuba ya Kiingereza inatafsiriwa kwa Kiswahili hapa Tz kwa kuwa Watanzania wengi hawajui English, the same applies for Malawi
Ahaa. Kumbe tunazungumza lugha moja kwamba Wamalawi wanazungumza Kiswahili ingawa sio wote. Nampongeza uncle kwa kukipa umuhimu Kiswahili
 
Kuwa mzalendo na itangaze Tanzania hapo ulipo bila kujari kwamba ccm inatuharibia nchi.Njia moja wapo na rahisi ni kuhakikisha muda mwingi unavaa mavazi yenye asili ya Tanzania mfano Masai dress,t-shirt zenye jina la Tanzania au mbuga ya Serengeti au ngorogoro na nyumbani kwako na kwenye gari yako bendera ya Tanzania isikosekane.February mwaka huu nilipata marafiki wengi pale The empire State ( New York) just kwa kuvaa suka ya kimasai na kofia yenye jina la Seringeti
Mimi am a very good ambassador of my country. Wakati nipo NY nilifanya siku ya kutambulisha nchi yetu pale Nursing home siijaji ila wana Jf Waishio maeneo hayo walishiriki na wanakumbuka. Tulielezea utamaduni wetu na vivutio na wale wazee walishangaa kusikia jina TZ. Ni bibi mmoja tu ambaye mtoto wake alifanya kazi TZ ndo aliifahamu na akasema alifika mpaka Zanzibar.
Mimi huwa nachukua muda wangu kuchora ramani ya Africa na kuonyesha watu ilipo nchi yangu na majirani. Kila niendapo nafanya hivyo ila naumia nchi yetu haifanyi juhudi.

Hapa nilipo kuna consulate ya Kenya na kuna wakenya wengi wanafanya kazi kwenye makampuni. Hapa ni Burma. Kuna Mafuta, gas, vito vya thamani na kila kitu. Ni nchi kandamizi lakini watu wake wanapewa maji bure, umeme gharama yake wanalipa nusu, barabara zao huwezi linganisha na kwetu hata kwa robo, hizo fly over tunayoambiwa imejengwa nyumbani, huku ni kila mahali na ni kwa nchi nzima kutoa mikoa isiyo na population kubwa.

Bado nchi hii inaitwa maskini. They are innovative in every aspect. Wanatengeneza karatasi toka mavi ya tembo na wanyama wengine, miti bila chemicals and more. Natamani nchi yangu ingekuja kujifunza huku.

Wanalima mboga kwenye floating gardens ambavyo sisi tungeweza kufanya. Ziara za watu wetu ni Japan, German na nchi zilizoendelea.
 
Uwe unajiita mkenya.

Hata hiyo kenya yako, wengine hawaijui vile vile. Kwani wewe tuvalu unaijua??? Ni nchi kubwa tu na inajulikana na wenye matumizi nayo.
Ndugu yangu Tuvalu ipo visiwa vya fiji na nimeishi na kufanya kazi miezi mitatu. Siwezi jiita mkenya maana mimi ni mbongo ila tuseme ukweli nchi yetu hata huko unakokusema nilpata shida kuwaelewesha nchi yangu. Ilibidi niwaonyeshe kwenye ramani. Kenya wana hazina ya wanariadha, rugby, footballers na wanajitangaza kwa kutumia vivutio vya nchi yetu. Usiwe na mawazo hasi mtu anaposema kitu. Tuvalu, Kilibati na pengine pote nimefika na nimevua samaki na kuishi na hao watu. For your information nipo Far East na kazi yangu inanifanya nizungukie nchi zinazohitaji misaada ya UN.
 
Back
Top Bottom