Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
- Thread starter
- #101
link hiyo haponilikuwa huko mwaka jana bro japo sina takwimu halisi ila kwa kweli sikupata shida sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
link hiyo haponilikuwa huko mwaka jana bro japo sina takwimu halisi ila kwa kweli sikupata shida sana
Chichewa ni national language ambayo ni 50% inatumika Malawi,na English ni official language......ila kwa uzoefu wangu wa kuwahi pita pita mitaa ya karonga,chitipa,Zomba.......Lugha ya Kitumbuka na Kinyanja kinatumika pia,maana ukisikiliza radio MBC taarifa ya habari inasomwa kwa lugha zote hizoMalawi official ni ngapi?
Mkuu naisha area 43 Lilongwe,hapo kabla nilikuwa naishi Blantyre Eneo la Sunnyside barabara ya kwenda Manyowe so mengine nakuelewa mengine naona nyota nyota tuChichewa ni national language ambayo ni 50% inatumika Malawi,na English ni official language......ila kwa uzoefu wangu wa kuwahi pita pita mitaa ya karonga,chitipa,Zomba.......Lugha ya Kitumbuka na Kinyanja kinatumika pia,maana ukisikiliza radio MBC taarifa ya habari inasomwa kwa lugha zote hizo
Ivi mbona mnasifia hata ujinga? Kiswahili ni lugha ya ndani ya nchi huko nje niyakubahatisha tu. Hawa viongozi watoto wao wapo Kenya Uganda na huko ulaya kujifunza lugha hii ya dunia ww endelea kusifia tu mwisho utajua umechelewaMkuu naheshimu sana maoni yako. Kiswahili kinazungumzwa katika nchi nyingi ingawa sio kama Kiingereza, Kifaransa na Kiarabu. Kutafsiri lugha moja kwenda nyengine ina maana zaidi ya kwamba lugha hiyo haieleweki, hivyo na Kiswahili ni vivyo hivyo. Lugha ya Taifa Malawi si Kiswahili wala Kiswahili sio lugha nchini humo, hivyo wananchi wanatafsiriwa ama kwa lugha ya taifa au lugha rasmi. Nakipenda Kiswahili. Hongera uncle kwa hili hata kama lugha ya mama inakupiga chenga, hapa umeonesha njia.
Sawa! Huko Malawi, Msumbiji, Zambia Kiswahili huzungumzwa hasa mipakani mwa hizo nchi na Tz hasa na wafanyabiashara kutoka huko au raia wenye kukifahamu ila huko kwingine hutumia lugha zao tu.
Mkuu unaonekana huelewi hii lugha na hivyo inawezekana na hiyo nyingone pia huielewi. Nimejenga hoja kwamba kufasiri lugha moja kwenda nyingine haina maana kuwa hiyoblugha haieleweki na kwamba hufasiriwa ili kuipeleka kwenye lugha ya taifa au lugha rasmi ya nchi nyingine. Swala la viongozi kusomesha watoto wao nje ya nchi ni swala jingine kabisa. Kitendo cha uncle kuzungumza Kiswahili, iwe anajua au hajui Kiingereza, kwangu ni kukikuza KiswahiliIvi mbona mnasifia hata ujinga? Kiswahili ni lugha ya ndani ya nchi huko nje niyakubahatisha tu. Hawa viongozi watoto wao wapo Kenya Uganda na huko ulaya kujifunza lugha hii ya dunia ww endelea kusifia tu mwisho utajua umechelewa
Hivi mkuu hujapata kuona hapa Tanzania hotuba ya Kiingereza kutafsiriwa kwa Kiswahili?Sasa kama lugha inaeleweka na wengi point ya Kuitafsiri ni nini?
Lengo kuu la kugha ni kuwasiliana, kama inaeleweka iwe official ama sio official kama inaeleweka mkalimani haitajiki
Na simaanishi kuwa Malawi hawaelewi Kiswahili wote, ila wanaoielewa ni wachache
Unaweza tangazia familia yako na mambo yakaenda vizuri tu, embu niambia ni kabila gani wahusika wamelitelekeza na kujiita waswahili.
Sasa wewe unapata wapi ujasiri cha kumcheka asiyejua kiingereza!!!! Kama kaamja kukomaa na kiswahili???Huwezi kuona maana huna macho au unayo ila unafanya makusudi!
Alichofanya Nyerere ni ku-criminalize makabila na origins za watu na kujenga artificial kabila linaloitwa Watanzania which is a serious blunder!
Huwezi criminalize origins za watu walizojenga miaka 3000 iliyopita halafu ukaja kupata kitu concrete,utapata taifa feki kama lilivyo Tanzania!
Mtu hawezi ongea lugha yake ya asili halafu ukam-penalize au kumcheka,unataka aongee Kiswahili kwa lazima hata kama yupo kijijini kwake!
Huwezi kumtukana mtu kwa kuongea lugha walizoongea blood ancestors wake milenia na milenia zilizopita kwa lugha feki isiyokua na misingi ya kiasili kama Kiswahili
Ndio maana Wakenya watakua wazalendo kwa Kenya yao zaidi ya sisi Watanzania na Tanzania...Sababu mizizi ya mababu zetu na mila zao pamoja na lugha zao CCM imezikata na kujangea utamaduni feki wa Kiswahili
Waache watu na asili zao,then wajengee federation ya serikali kuu,sio unawavuruga for sake of a stupid Swahili tradition which is Arabic by the way!
Fvck CCM!
Ndio maana Lee kuan Yew alikua na akili na mafanikio makubwa zaidi ya Nyerere!
Sasa wewe unapata wapi ujasiri cha kumcheka asiyejua kiingereza!!!! Kama kaamja kukomaa na kiswahili???
Hotuba ya Kiingereza inatafsiriwa kwa Kiswahili hapa Tz kwa kuwa Watanzania wengi hawajui English, the same applies for MalawiHivi mkuu hujapata kuona hapa Tanzania hotuba ya Kiingereza kutafsiriwa kwa Kiswahili?
Kiswahili ni kama Kinyakyusa au Kisukuma au Kimasai,etc
Alichofanya Nyerere ni kubagua lugha zingine zote na kukipa cheo Kiswahili over other languages of which kuna price we are paying now!
Anaejua Kiingereza ni bora zaidi ya wewe wa Kiswahili maana ndio lugha ya dunia....
Anaweza kwenda kokote na kufanya biashara kokote au kuajiriwa popote...
Hujui Kiingereza basi wewe ni bomu tu!
Kama nchi tungechagua Kiingereza kama native/lingua franca ya nchi!
Mnajifanya ni nchi ya Kiswahili,ila kuanzia primary school mpaka chuo kikuu mnasoma kwa Kiingereza,mnaishia kua shallow kote kote,we are loosers sababu ya viongozi loosers1
Punguza stree twende sawa mkuu.
Ndio!Kwahiyo kujua kiingereza ni kuajiriwa au kufanya biashara popote!!!!
Mifano ya kipumbavu kabisa!Unajua china, india au japan kuna madactary hawajui kabisa kiingereza!!! Na wanatibu watu wanapona!!!
Utakuta wewe ni msomi na taasisi fulani inakutegemea[emoji22][emoji22][emoji22]."tree" ndio nini?
Jifunze lugha na uandike vitu kwa usahihi
Ndio!
Kama unabisha andamana!
Mifano ya kipumbavu kabisa!
Daktari wa Kichina na Kijapan anatibu watu wasiojua Kijapan au Kichina duniani popote bila tatizo?
Are you insane?
Unajua kitu kinaitwa 'Language Barrier'?
Elewa stronger nationa haina haja ya kujua lugha ya weaker nations....
Power axis inadai ni lazima weaker nations zichukue languages za stronger nations ili zifanye Technology Transfer,etc!
Defacto lingua franca ya dunia kutokana na power axis ni Western English values,the soft power rulling the world ni American culture ambapo ina include English language!
Hujui Kiingereza wewe kiazi utaenda kufanya biashara nchi gani au kuajiriwa mahali gani dunia hii na wewe ni linguistically handcapped?
Yaani sijui mnaongea mapumba gani nyie!
Utawasiliana vipi kwenye ofisi za hayo makampuni uliyoajiriwa huko duniani?Utaongea na employees walioko nawe kwa kutumia nini?Kiswahili?
Bure kabisa,mnafanya utani kwenye vitu serious!
Utakuta wewe ni msomi na taasisi fulani inakutegemea[emoji22][emoji22][emoji22].
Nashukuru umejua tatizo lako lilipo, kwa sasa china imeshatawala soko la africa lenye mamia ya lugha tofauti, japan inaingiza magari na redio yaliyoandikwa kijapan, no one cares. Unazungumzia biashara gani!!!bangiri za kimasai???Na wewe ni nani kwa mfano?
Usijipe ubora usiokua nao!
Ni kichaa pekee yake anaesema eti anaweza kwenda nchi yoyote bila kujua Kiingereza au lugha ya nchi ile na kufanya kazi na biashara bila tatizo!
Ni vichaa pekee yake!
Ahaa. Kumbe tunazungumza lugha moja kwamba Wamalawi wanazungumza Kiswahili ingawa sio wote. Nampongeza uncle kwa kukipa umuhimu KiswahiliHotuba ya Kiingereza inatafsiriwa kwa Kiswahili hapa Tz kwa kuwa Watanzania wengi hawajui English, the same applies for Malawi
Mimi am a very good ambassador of my country. Wakati nipo NY nilifanya siku ya kutambulisha nchi yetu pale Nursing home siijaji ila wana Jf Waishio maeneo hayo walishiriki na wanakumbuka. Tulielezea utamaduni wetu na vivutio na wale wazee walishangaa kusikia jina TZ. Ni bibi mmoja tu ambaye mtoto wake alifanya kazi TZ ndo aliifahamu na akasema alifika mpaka Zanzibar.Kuwa mzalendo na itangaze Tanzania hapo ulipo bila kujari kwamba ccm inatuharibia nchi.Njia moja wapo na rahisi ni kuhakikisha muda mwingi unavaa mavazi yenye asili ya Tanzania mfano Masai dress,t-shirt zenye jina la Tanzania au mbuga ya Serengeti au ngorogoro na nyumbani kwako na kwenye gari yako bendera ya Tanzania isikosekane.February mwaka huu nilipata marafiki wengi pale The empire State ( New York) just kwa kuvaa suka ya kimasai na kofia yenye jina la Seringeti
Ndugu yangu Tuvalu ipo visiwa vya fiji na nimeishi na kufanya kazi miezi mitatu. Siwezi jiita mkenya maana mimi ni mbongo ila tuseme ukweli nchi yetu hata huko unakokusema nilpata shida kuwaelewesha nchi yangu. Ilibidi niwaonyeshe kwenye ramani. Kenya wana hazina ya wanariadha, rugby, footballers na wanajitangaza kwa kutumia vivutio vya nchi yetu. Usiwe na mawazo hasi mtu anaposema kitu. Tuvalu, Kilibati na pengine pote nimefika na nimevua samaki na kuishi na hao watu. For your information nipo Far East na kazi yangu inanifanya nizungukie nchi zinazohitaji misaada ya UN.Uwe unajiita mkenya.
Hata hiyo kenya yako, wengine hawaijui vile vile. Kwani wewe tuvalu unaijua??? Ni nchi kubwa tu na inajulikana na wenye matumizi nayo.