Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

a bird in hand worth two in the bush/wa mbili havai moja

"wa mbili havai moja" hii kidogo huwa inanipa shida sana ku-grasp kwa sababu wakati mwingine huwa ni kama inamaanisha kuwa mwenye mbili atavaa zote mbili kwa wakati mmoja. Unless kama ina maana kuwa ukiwa na MBILI, basi obvious huna MOJA, kwa sababu MBILI siyo MOJA, na hivyo huwezi kuvaa ile ambayo huna, yaani MOJA, bali instead utavaa uliyonayo ambayo ni MBILI
 
watakuja wataalamu but maana nyingine ni kwamba mshika mawili moja humponyoka au kusema no one can serve two masters
"wa mbili havai moja" hii kidogo huwa inanipa shida sana ku-grasp kwa sababu wakati mwingine huwa ni kama inamaanisha kuwa mwenye mbili atavaa zote mbili kwa wakati mmoja. Unless kama ina maana kuwa ukiwa na MBILI, basi obvious huna MOJA, kwa sababu MBILI siyo MOJA, na hivyo huwezi kuvaa ile ambayo huna, yaani MOJA, bali instead utavaa uliyonayo ambayo ni MBILI
 
"Beauty is in the eye of the beholder"

Saidia methali mlandano ya kiswahili wandugu.

"They say beauty's in the eye of the beholder
That why I look in the mirror every morning, and
realize how fly I am
They wanna know what ----in label i'm signing to,I'm the C.E.😵f Diplomat records I sign myslef"
 
  • Effort will not counter faith. -jitihada haiondoi kudra
 
  • When elephants fight the grass gets hurt. -wakutanapo mafahali wawili ziumiazo ni nyasi
 
Actio Speaks Louder than word;
Ada ya mja hunena mungwana ni kitendo�
/wema hauozi
 
"A Bird sitting on a tree is never afraid of the branch breaking, Because her trust is not on the branch but on it's own wings". Always believe in yourself.
 
Birds of Feathers Flocks Together-Ndege wa Rangi Moja Huruka Pamoja/Waarabu wa Pemba Hujuana kwa Vilemba
 
Women looks nice from far but actually they are far from nice-uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti
 
not all that glitters are gold-si kila king'aacho ni dhahabu/uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti
 
Old is gold -ya kale ni dhahabu/ng'ombe hazeeki maini
 
Old is gold-ganda la mua la jana chungu kaona kivuno
 
Back
Top Bottom