Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

"mwenda tezi na omo marejeo ngamani" naomba wajuzi wa lugha mnifafanulie hapa sielewi maana yake.
 
Hii ni sawa na kusema nyumbani ni nyumbani, kwamba hata ukiondoka kwenu(kwa tambo ama jema) ipo siku utarejea tu ama kwa kupata matatizo uko ulipoelekea au kukumbuka tu nyumbani.
 
Asante mkuu nimekupata.
 
Tezi - Sehemu ya mbele ya Jahazi; Omo - Sehemu ya nyuma; Ngama - Sehemu ya katikati. Katika jahazi abiria anaetangatanga kwa kwenda mbele au nyuma, mwisho wa siku hurudi kukaa katikati wanpokaa abiria wenzake. Katika jamii kuna viherehere pia ambao hupenda kujionyesha onyesha mapema mara hivi mara vile. Watu hao mara nyingi huabika na kuamua kurudia yapasayo katika jamii. Tushipuse ta!
 
Asante sana Chizi Fureshi.........tusipushe kalesa.
 
Last edited by a moderator:
Hii ganda la mua la jana chungu kaona kivuno mimi sjui inamaanisha nini,naomba mnifasirie sababu nimeiona na kuisika muda mrefu lakini sijui chungu ninani na kivuno ninini,sawa na ridhiki mafungu saba,mi nafuatisha semi tu kakini sjui maana.Nisaidieni jamani!
Kwa nijuavyo mimi chungu ni aina ya mchwa au siafu ambao hukusanya majani na mabaki ya vyakula kwenye mashimo yao, na Kivuno ni mbadala wa neno mavuno.
 
Huwa nakunwa sana nikijua jinsi methali ya kiswahili/kiingereza inavyotamkwa mfano

  1. Out of sight, out of mind-asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo (I stand to be corrected)

Tafadhali tupia ya kwako uniongezee ukunaji NAMI NIKUONGEZEE LIKE (give and take)
 
[TABLE="width: 1197, align: center"]
[TR]
[TD="class: bed, bgcolor: #EEEEEE"]Actions speak louder than words.[/TD]
[TD="class: kis, bgcolor: #EEEEEE"]Ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
  1. Blood is thicker than water-Damu nzito kuliko maji
 
Back
Top Bottom