Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu nimekupata.Hii ni sawa na kusema nyumbani ni nyumbani, kwamba hata ukiondoka kwenu(kwa tambo ama jema) ipo siku utarejea tu ama kwa kupata matatizo uko ulipoelekea au kukumbuka tu nyumbani.
Asante sana Chizi Fureshi.........tusipushe kalesa.Tezi - Sehemu ya mbele ya Jahazi; Omo - Sehemu ya nyuma; Ngama - Sehemu ya katikati. Katika jahazi abiria anaetangatanga kwa kwenda mbele au nyuma, mwisho wa siku hurudi kukaa katikati wanpokaa abiria wenzake. Katika jamii kuna viherehere pia ambao hupenda kujionyesha onyesha mapema mara hivi mara vile. Watu hao mara nyingi huabika na kuamua kurudia yapasayo katika jamii. Tushipuse ta!
Sante MkwaiAsante sana Chizi Fureshi.........tusipushe kalesa.
Kwa nijuavyo mimi chungu ni aina ya mchwa au siafu ambao hukusanya majani na mabaki ya vyakula kwenye mashimo yao, na Kivuno ni mbadala wa neno mavuno.Hii ganda la mua la jana chungu kaona kivuno mimi sjui inamaanisha nini,naomba mnifasirie sababu nimeiona na kuisika muda mrefu lakini sijui chungu ninani na kivuno ninini,sawa na ridhiki mafungu saba,mi nafuatisha semi tu kakini sjui maana.Nisaidieni jamani!