Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
a bird in hand worth two in the bush/wa mbili havai moja
"wa mbili havai moja" hii kidogo huwa inanipa shida sana ku-grasp kwa sababu wakati mwingine huwa ni kama inamaanisha kuwa mwenye mbili atavaa zote mbili kwa wakati mmoja. Unless kama ina maana kuwa ukiwa na MBILI, basi obvious huna MOJA, kwa sababu MBILI siyo MOJA, na hivyo huwezi kuvaa ile ambayo huna, yaani MOJA, bali instead utavaa uliyonayo ambayo ni MBILI
When your in Rome, do as the Romans do.
"Beauty is in the eye of the beholder"
Saidia methali mlandano ya kiswahili wandugu.
"Beauty is in the eye of the beholder"
Saidia methali mlandano ya kiswahili wandugu.
"Beauty is in the eye of the beholder"
Saidia methali mlandano ya kiswahili wandugu.
No pain no gain ina maana sawa na mtaka cha uvunguni sharti ainame.