Hekima huja siyo tu kwa kuona matendo yasiyo na busara.
bali hekima hujipambanua katika umbo la uelewa, busara na ufahamu. hekima hiyo mara nyingi iko tiyari kusikiliza sauti na hisia kali kutoka moyoni. Miongoni wa sauti hizo ni ile nia yakutafuta ukweli na kupata mawazo endelevu kutoka na kazi unayoenda kuifanya.
sauti hiyo ina nguvu kubwa sana kama muhusika ataisikia nakuifanyia kazi
hekima hupata kwa watu wamatambaka yote
wazee
vijana
wanawake
masikini
matajiri
viongozi n.k
Mugawanyo wa matabaka hayo havihukuma mgawanyo wa hekima na busara ndani ya wanajamii ndani ya mioyo na mawazo yao
Bali kinachotokea hapa ni mitazamo tofauti na mawazo yao, kutokana na hali hiyo ndio tunapata maneno, misemo nahau,na methali juu ya maisha,dini tamanduni, kazi, vichochenzi vya maendeleo, mapenzi n.k
misemo pamoja na vitu vingene vipo kwa ajili ya kuchochea na kuendeleza gurudumu la maendeleo katika jamii
misemo hiyo ina nguvu za kumfanya mtu aweze kuthubutu kufanya kile alichokusudia.