Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Ha ha ha ha ha, una hatari wewe.

Mie nashangaa wazee wazima mnajipikilisha na watoto
Sasa hivi mnawababuseya, na hivi nao hawajielewei hata pant hawana.

Si mwanamke si mwanamme na yuko jf.
 
Mwalimu wangu Madame B hivi ngoma ya kibao kata huwa inakuwaje? naisikiaga tu

Kaizer mwafnz wangu, Kibao kata ni Mautundu flani ninayowapa madada wanaojiandaa kwenye Ndoa kabla ya kufundwa ktk Kitchen Party jamani.
Au unataka siku uje kuchungulia inavokuwa?
Usijali kwa kuwa mimi Mwezeshaji wako,
N'takutafuta ili twende.
 
Last edited by a moderator:

Kwa sababu za kimaadili nitaomba nisiende ila tu uje unionyeshe kwen darasa letu lile
 
Kwa sababu za kimaadili nitaomba nisiende ila tu uje unionyeshe kwen darasa letu lile

Nooo..!! Kaizer,
huwa kuna wanaume spesho V.I.P huwa wanaruhusiwa kuja.
Ngoja kuna moja hv Jmosi ya Keshokutwa N'takubeba twende,
Me ndo Mwandaramo mwenyewe Taenda Tu.
 
Last edited by a moderator:
kitendawiliiiiiiiiiiiiiiii
Baba mkali, mama mweusi watoto wapoleeeeeeeee
 
Back
Top Bottom