platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Haswa,kwani charminglady anasemaje?
Amechekelea tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswa,kwani charminglady anasemaje?
Si mwanamke si mwanamme na yuko jf.
Mwalimu wangu Madame B hivi ngoma ya kibao kata huwa inakuwaje? naisikiaga tu
Kitendawiliiiiiiiiiiiiiiiii
Maiti inazungumzai la waliyoibeba wamenyama kimya!
Kaizer mwafnz wangu, Kibao kata ni Mautundu flani ninayowapa madada wanaojiandaa kwenye Ndoa kabla ya kufundwa ktk Kitchen Party jamani.
Au unataka siku uje kuchungulia inavokuwa?
Usijali kwa kuwa mimi Mwezeshaji wako,
N'takutafuta ili twende.
Kwa sababu za kimaadili nitaomba nisiende ila tu uje unionyeshe kwen darasa letu lile
nyumba yangu ndogo ina wapangaji wengiiiiiiiiiiii!
Hauko right wala nini.
Hebu acha kubana bana,
Nipe mji wewe watu tukuonyeshe Mautumdu
Si mwanamke si mwanamme na yuko jf.
jibu lake ni . . . mh naogopa ban!
Chungu kinachochemka jikoni na Mafiga yake.
Kitendawiliiii...
mh,nimekosa nakupa mji, nenda tandahimba! Madame B
tegaaaa
:biggrin1: mh huo mji sitashangaa kama akikataa kutupa jibu
jibu lake ni . . . mh naogopa ban!
HehePale Kintinku nyuma ya Msikiti kuna House moja hv iko Chimbo hyo balaa.
Hii tawafaa kwa kazi ile ya 'Usajili' wa New Member.
Hehe
Kitu cha tembe meen
Unamwogopa MoD Erickb52?