Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

co dawa yao dawa yako we mod wa chit chat
Heheheee charminglady bhana
Hebu nambie mzima?
Mi kwanza nataka kuachana na UMOD maana naona muda mwingi wakati kuna wajukuu wanahitaji ukaguzi mara kwa mara na babu Asprin anawakwepa wengine eti ukaguzi unageuzwa kama wanamkomoa hahaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Basi u-Mod na ukaguzi ndo vinaendana.
Au ushakutana na 'Roho Ngumu'?
Babu sijui nae kafia wapi,
hebu Mtafute isije ikawa yale yale ya 'Maji kuzidi Unga' tukamuokota 'Ulimbokani' Ohoo!!
 
Hahahaaa babu Asprin mchana alienda kumkagua Catherine hadi sasa hajarudi na sijamuona kokote
Sijui kama yuko salama huko aliko au lah
 
Unaona sasa Erickb52?
Babu yetu haonekani mpaka muda huu na Simu yake tumejaribu kuipiga Haipatikani.
Me nilisema tangu juzi,
Kuna wengine 'Wake wa Waganga'
Maskini Babu,Uko wapi Asprin wetu,jitokelezee uliko.
 
Hahahaaaa anacheza na watoto wa Mtwara lol
Mwache avunjike kiuno ndio atalijua jiji maana wengine ni Non Stop wanazunguka utadhani CD
Hahahaaaa lol Madame B mengine humu hayafai labda twende kwa akina Rungu na cartura
Hivi hata Bishanga na Kaizer sijawaona leo...
Na wao wamemuunga Asprin kwenye ukaguzi au?
 
Itakuwa maana watu cku hizi wanapiga shoo Mbaya.
Kaizer mara ya Mwisho alinambia anaenda Chemba,
sasa sijui ndo wapi.
Bishanga kuna sehemu nimemuona hapa,
nataka nivae miwani ya Mkapa ili nihakikishe kama ndo yeye au vp.
Rungu na cartura wanatakaga watu tuvunjwe viuno vyetu tu majumbani humu.
Vipi Asprin anapatikana kwenye simu au ndo Kawaita hao Wamsaidie?
 
Hebu njoo PM unipe namba yako ya simu ni do the needful
 
Sasa vitendawili ndo vimefika mwisho au? Mana naona story nyingi, hebu nitegulieni hiki,
shamba langu kubwa kisiki kimoja
 
Mwalimu wangu Madame B ulikuwa unantafuta?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom