Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,534
- 11,449
Hahashaaa hivi wana dawa yao eeeeh lolhata thimwogopi, najua dawa yake hyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahashaaa hivi wana dawa yao eeeeh lolhata thimwogopi, najua dawa yake hyo!
Hahashaaa hivi wana dawa yao eeeeh lol
Heheheee charminglady bhanaco dawa yao dawa yako we mod wa chit chat
Heheheee charminglady bhana
Hebu nambie mzima?
Mi kwanza nataka kuachana na UMOD maana naona muda mwingi wakati kuna wajukuu wanahitaji ukaguzi mara kwa mara na babu Asprin anawakwepa wengine eti ukaguzi unageuzwa kama wanamkomoa hahaaaaa
Hahahaaa babu Asprin mchana alienda kumkagua Catherine hadi sasa hajarudi na sijamuona kokoteBasi u-Mod na ukaguzi ndo vinaendana.
Au ushakutana na 'Roho Ngumu'?
Babu sijui nae kafia wapi,
hebu Mtafute isije ikawa yale yale ya 'Maji kuzidi Unga' tukamuokota 'Ulimbokani' Ohoo!!
Hahahaaaa anacheza na watoto wa Mtwara lol
Hahahaaaa anacheza na watoto wa Mtwara lol
Mwache avunjike kiuno ndio atalijua jiji maana wengine ni Non Stop wanazunguka utadhani CD
Hahahaaaa lol Madame B mengine humu hayafai labda twende kwa akina Rungu na cartura
Hivi hata Bishanga na Kaizer sijawaona leo...
Na wao wamemuunga Asprin kwenye ukaguzi au?
Hebu njoo PM unipe namba yako ya simu ni do the needfulItakuwa maana watu cku hizi wanapiga shoo Mbaya.
Kaizer mara ya Mwisho alinambia anaenda Chemba,
sasa sijui ndo wapi.
Bishanga kuna sehemu nimemuona hapa,
nataka nivae miwani ya Mkapa ili nihakikishe kama ndo yeye au vp.
Rungu na cartura wanatakaga watu tuvunjwe viuno vyetu tu majumbani humu.
Vipi Asprin anapatikana kwenye simu au ndo Kawaita hao Wamsaidie?
Sasa vitendawili ndo vimefika mwisho au? Mana naona story nyingi, hebu nitegulieni hiki,
shamba langu kubwa kisiki kimoja
Sasa vitendawili ndo vimefika mwisho au? Mana naona story nyingi, hebu nitegulieni hiki,
shamba langu kubwa kisiki kimoja
uyoga. . . nimepata nimekosa?
Hebu njoo PM unipe namba yako ya simu ni do the needful