Hii ni AIBU! ukiwa kama mtanzania na hujui neno "kuhujumu"? hii yoote inasababishwa na dharau, dharau ya lugha yetu ya kiswahili... nina uhakika kabisa kama nilivyokuwa na uhakika wewe ni mtanzania kama ungekuwa hufahamu maana ya hilo undermine kiingereza usingeweza kuuliza humu maana yake kwa maana ungejisikia aibu sana lakni kwa kuwa haujui maana ya neno la kiswahili wala haikusumbui na unaona ni kitu cha kawaida tuu... wakati kwa hali ya kawaida mtu mwenye kuthamini utu wake na heshima yake kama mwanadamu huwa anajivunia utamaduni wake na kamwe hawezi kuubeza na kuona ni sawa tuu hata kama asipojua lugha yake vizuri..........
neno "sabotage" na neno "undermine" yana maana moja katika kiswahili? When somebody is accused of sabotaging the economy is this the same as undermining?
Katika Webster "undermine" inafasiriwa hivi:
1. to injure or destroy by insidious activity or imperceptible stages, sometimes tending toward a sudden dramatic effect.
2. to attack by indirect, secret, or underhand means; attempt to subvert by stealth.
3. to make an excavation under; dig or tunnel beneath, as a military stronghold.
4. to weaken or cause to collapse by removing underlying support, as by digging away or eroding the foundation.
na Neno "sabotage" linafasiriwa kuwa ni:
1. Destruction of property or obstruction of normal operations, as by civilians or enemy agents in time of war.
2. Treacherous action to defeat or hinder a cause or an endeavor; deliberate subversion.
Sasa nikisema "he was undermining his authority" siwezi kutafsiri kwa kiswahili kuwa "alikuwa anahujumu mamlaka yake".
Sasa wewe unayejua kiswahili nifafanulie hilo neno maana miye kwa kuuliza ni aibu! nitoe ushamba.