Mahmoud Shariff Qaasim
JF-Expert Member
- Nov 3, 2007
- 923
- 267
Aloe Vera si SHUBIRI. Shubiri ni kitu kingine -- kuna mtu ameniambia kuwa inatokana na utomvu wa mti -- iko ktk hali ya vidonge (crystals) ambavyo hulowekwa ktk maji, na kisha kutumiwa ktk hali hiyo ya kimiminika. Rangi ya maji yenye shubiri ni kahawia.
Kwa mfano mtu akisema "he was undermining her efforts to succeed"... utatafsirije neno neno "undermine" kwa Kiswahili?
Hii ni AIBU! ukiwa kama mtanzania na hujui neno "kuhujumu"? hii yoote inasababishwa na dharau, dharau ya lugha yetu ya kiswahili... nina uhakika kabisa kama nilivyokuwa na uhakika wewe ni mtanzania kama ungekuwa hufahamu maana ya hilo undermine kiingereza usingeweza kuuliza humu maana yake kwa maana ungejisikia aibu sana lakni kwa kuwa haujui maana ya neno la kiswahili wala haikusumbui na unaona ni kitu cha kawaida tuu... wakati kwa hali ya kawaida mtu mwenye kuthamini utu wake na heshima yake kama mwanadamu huwa anajivunia utamaduni wake na kamwe hawezi kuubeza na kuona ni sawa tuu hata kama asipojua lugha yake vizuri..........Kwa mfano mtu akisema "he was undermining her efforts to succeed"... utatafsirije neno neno "undermine" kwa Kiswahili?
Hii ni AIBU! ukiwa kama mtanzania na hujui neno "kuhujumu"? hii yoote inasababishwa na dharau, dharau ya lugha yetu ya kiswahili... nina uhakika kabisa kama nilivyokuwa na uhakika wewe ni mtanzania kama ungekuwa hufahamu maana ya hilo undermine kiingereza usingeweza kuuliza humu maana yake kwa maana ungejisikia aibu sana lakni kwa kuwa haujui maana ya neno la kiswahili wala haikusumbui na unaona ni kitu cha kawaida tuu... wakati kwa hali ya kawaida mtu mwenye kuthamini utu wake na heshima yake kama mwanadamu huwa anajivunia utamaduni wake na kamwe hawezi kuubeza na kuona ni sawa tuu hata kama asipojua lugha yake vizuri..........

ku undermine ni kuhujumu
Boy,i guess you got it all wrong.
The sentence/the question is ironic.
it is not that,the guy does not know what that word mean,angetaka kujua maana yake believe me anajua wapi pa kuulizia sio hapa kwenye SIASA
not quite..
korofisha, tibua, zingua, bomoa taratibu, mong'onya, ?????
vice versa.. "kinyume chake"..