Kwa lugha ya mtaani,nisijue we ulishawai ishi wapi Daslaaam,pede ni mtu mwenye pesa hasiye na shule(hakwenda darasani),walenda mbali na kutolea mfano Papa Musofe,Jack Pemba...............na wengine wengi wa mwananyamala na kijitonyama.
Mimi nilipoondoka mitaa hiyo hili neno halikuexist na nini chanzo ama mwanzo wa neno hili kutumika ?