Kwa lugha ya mtaani,nisijue we ulishawai ishi wapi Daslaaam,pede ni mtu mwenye pesa hasiye na shule(hakwenda darasani),walenda mbali na kutolea mfano Papa Musofe,Jack Pemba...............na wengine wengi wa mwananyamala na kijitonyama.
Yeah ni kweli kwa kuongezea tu PDG au pédégé!sasa wakongoman ndo na sisi wakatuletea!hilo neno linatokana na kifupi cha neno/maneno ya kifaransa-president directeur generale(pdg) yaan kwa tafsiri ya kiswahili sanifu ni mkurugenzi/meneja mkuu wa kampuni au shirika fulani
Napenda sana kuwa pedeshee, nifanyeje ili na mimi niwe pedeshee??
Au huo upede sheee wanasomea wapi??
Na ada ya mafunzo hayo inagharimu kiasi gani?
Wakubwa nauliza tena hili neno pedejee taasisi zetu za kiswahili zinalikubaki ama linazikataa ?
Yaani ni mademu wanamwita Bwana mwenye pesa asiye na shule Pedeshee? Ina maana mimi siwezi kuwa Pedeshee?
Kaazi kweli kweli!
Heheheheee...kwani unataka kuwa Pedeshee?
- Pedejee hapa Dar es Salaam ni cheo unachopewa baada ya kuwa na maudhurio mazuri kwenye kumbi za muziki na baa, na sio kuhudhuria tu bali kuwanunualia wanywaji pombe mpaka buje huku ukiwa umezungwuka na wanawake wa "haja".
- Pedejee hapa Dar es Salaam ni mtu mwenye kujengea urafiki na waimbaji wa muziki (hasa wenye asili ya DRC) na katika urafiki huo lazima uwe na sifa kama ya kwanza niliyotaja hapo juu halafu uweze siku moja moja "kuwatoa" wanamuziki (kama vile kuwaachia gari yako kwa takribani mwezi hivi wanatanualia na gharama ya Diesel/petrol kwako).
- Pedejee hapa Dar es Salaam ni FISADI
- Need I say More?
-

Nyani sijui ndugu yangu!
I am just curious! Kwani kuwa Pedeshee ni deal Bongo?