Kiswahili nayo,sana sana part ya Diamond yeye hu mean

Kiswahili nayo,sana sana part ya Diamond yeye hu mean

Haha kumbe tuko wengi but za congo hazina beat poa ka bongo,bongo ikiekwa kwa klabu kila mtu ataamka,unaeza dance nayo pia,si congo ni kinda rhumba ivi?huku wazee ndo huskizaa hizo

Sent using Jamii Forums mobile app

Unawajua Extra Musica, kasikilize Etat Major, Tata Nzambe etc

Then watafute Wenge B.C.B.G 4 x 4.

Especially the oldies around 1990s.
 
Okay....kwanza you need to know makuti ni nini? Makuti are coconut tree leaves. Singularly...Kuti. As you know makuti makavu. (Dry) yana catch fire sana. So Dai anasema "moyo wangu ni wa makuti usinijie na kiberiti" my heart is made of coconut tree leaves...dont take with you a match box/lighter

Nikumbate ubaridini....cuddle me in the coldness....kwenye tundu kama njiwa...in the bird cage like a dove.

You know these are artistic and pictorial words.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli very artistic words but beat ya ngoma ni lit ,btw Governor wa taita before christmas iishe alisema this was his favourite.song na akaimba line za kwanza za harmonize,just a btw tu ka hujui taita taveta ni county huku wana swahili poa kuliko ya nai atleast hao.wanaeza elewa hizi lyrics kutuliko

Good. Mfano Harmo anaposema
I wish ningekuwaga na mavumba mkwanja manoti, nikuhonge vya thamani
Au niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba, Masanja, Joti usiwe mbali nami.

Najua hapa kawaacha Wakenya wengi hawaelewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just go YouTube and play one or two of those songs I mentioned.

Utaelewa tu.
Hizo ni zenye wacongo wananengua viuni nikama there is no tomorrow?but Tbh mi hupenda venye wao hunengua,but Deputy prezzo wetu aliwa diss mbaya ati chenye wanajua tu ni ndombolo[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good. Mfano Harmo anaposema
I wish ningekuwaga na mavumba mkwanja manoti, nikuhonge vya thamani
Au niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba, Masanja, Joti usiwe mbali nami.

Najua hapa kawaacha Wakenya wengi hawaelewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu tunaelewa kwanza mimi,sijui what the guy is saying nikaa ameongea greek hapo

Taste zinatofautiana, muziki wa Congo ndiyo muziki umewahi kuwa maarufu hapa Tanzania kupita miziki ya nchi zingine zote.

Hata tulifikia kuanzisha makundi ya miziki ya dansi (new age) kama Twanga Pepeta, FM Academia, Akudo Impact and the like, ilikuwa ni like copy paste ya Congo na ilipunguza sana nguvu ya muziki wa Congo hapa kwetu, then Bongo Fleva came and killed everything.
 
Diamond kama wewe ni mjuzi wa Kiswahili hata wimbo wa Katika amekuwa featured.....alichokiimba anakijua mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Actually hakuna wimbo ya Tz personally mi huelewa but kuna moja ya Jux inaitwa utaniua atleast hio nilijaribu kuelewa na ben pol moyo mashine lakini chorus hizo part zingine zote ndo naskia.anaimba poa lakini sielewi kitu,alafu mseme ati sisi tunaongeanga ka tumebana pua,,really

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good. Mfano Harmo anaposema
I wish ningekuwaga na mavumba mkwanja manoti, nikuhonge vya thamani
Au niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba, Masanja, Joti usiwe mbali nami.

Najua hapa kawaacha Wakenya wengi hawaelewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kusema ukweli ukaimbia hii ngoma dem si atakuwa horny hata before muanze[emoji2] [emoji2] hope ww si dem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu tunaelewa kwanza mimi,sijui what the guy is saying nikaa ameongea greek hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha I know.
I wish ningekuwaga na mavumba...mkwanja...manoti. Anasema he wish he would be rich. Yaani i wish ningekuwanga na pesa....'mavumba'...'mkwanja'....'manoti' (bank notes) hizi ni a.k.a za pesa kwa lugha za mtaani huku Tz.

Au niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba. Anasema "Au angekuwa anajua ku act (maigizo) kama late Steven Kanumba...Kanumba was best actor before his death in 2012. Tafuta movie zake za Bongo Movie hata youtube unaweza ona some clips. Also Masanja and Joti....these two are famous comedians in Tz almost kila mtu anawajua. Just like yule Omondi wa kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taste zinatofautiana, muziki wa Congo ndiyo muziki umewahi kuwa maarufu hapa Tanzania kupita miziki ya nchi zingine zote.

Hata tulifikia kuanzisha makundi ya miziki ya dansi (new age) kama Twanga Pepeta, FM Academia, Akudo Impact and the like, ilikuwa ni like copy paste ya Congo na ilipunguza sana nguvu ya muziki wa Congo hapa kwetu, then Bongo Fleva came and killed everything.
Haha bongo iliwabeba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom