Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha kumbe tuko wengi but za congo hazina beat poa ka bongo,bongo ikiekwa kwa klabu kila mtu ataamka,unaeza dance nayo pia,si congo ni kinda rhumba ivi?huku wazee ndo huskizaa hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli very artistic words but beat ya ngoma ni lit ,btw Governor wa taita before christmas iishe alisema this was his favourite.song na akaimba line za kwanza za harmonize,just a btw tu ka hujui taita taveta ni county huku wana swahili poa kuliko ya nai atleast hao.wanaeza elewa hizi lyrics kutulikoOkay....kwanza you need to know makuti ni nini? Makuti are coconut tree leaves. Singularly...Kuti. As you know makuti makavu. (Dry) yana catch fire sana. So Dai anasema "moyo wangu ni wa makuti usinijie na kiberiti" my heart is made of coconut tree leaves...dont take with you a match box/lighter
Nikumbate ubaridini....cuddle me in the coldness....kwenye tundu kama njiwa...in the bird cage like a dove.
You know these are artistic and pictorial words.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maboy fulani huku wanaitwa ethics watu husema hio.ngoma.ni chafu but i think diamond ni mchafu hadi kuliko Ethics
Enyewe siwajui,mi ni post millennialUnawajua Extra Musica, kasikilize Etat Major, Tata Nzambe etc
Then watafute Wenge B.C.B.G 4 x 4.
Especially the oldies around 1990s.
But najua Congo chics a good with hips wanajua ku rotate,n tbh i find that sexy,huku ni madem few sana wanaeza rotate hips ivyo maybe coast n hao waarabu wa mombasa
Good. Mfano Harmo anaposemaUkweli very artistic words but beat ya ngoma ni lit ,btw Governor wa taita before christmas iishe alisema this was his favourite.song na akaimba line za kwanza za harmonize,just a btw tu ka hujui taita taveta ni county huku wana swahili poa kuliko ya nai atleast hao.wanaeza elewa hizi lyrics kutuliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni zenye wacongo wananengua viuni nikama there is no tomorrow?but Tbh mi hupenda venye wao hunengua,but Deputy prezzo wetu aliwa diss mbaya ati chenye wanajua tu ni ndombolo[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87]Just go YouTube and play one or two of those songs I mentioned.
Utaelewa tu.
Diamond kama wewe ni mjuzi wa Kiswahili hata wimbo wa Katika amekuwa featured.....alichokiimba anakijua mwenyewe.Maboy fulani huku wanaitwa ethics watu husema hio.ngoma.ni chafu but i think diamond ni mchafu hadi kuliko Ethics
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu tunaelewa kwanza mimi,sijui what the guy is saying nikaa ameongea greek hapoGood. Mfano Harmo anaposema
I wish ningekuwaga na mavumba mkwanja manoti, nikuhonge vya thamani
Au niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba, Masanja, Joti usiwe mbali nami.
Najua hapa kawaacha Wakenya wengi hawaelewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe mbali nami ndo nimeelewa yaani,usi go far from meGood. Mfano Harmo anaposema
I wish ningekuwaga na mavumba mkwanja manoti, nikuhonge vya thamani
Au niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba, Masanja, Joti usiwe mbali nami.
Najua hapa kawaacha Wakenya wengi hawaelewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni zenye wacongo wananengua viuni nikama there is no tomorrow?but Tbh mi hupenda venye wao hunengua,but Deputy prezzo wetu aliwa diss mbaya ati chenye wanajua tu ni ndombolo[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Actually hakuna wimbo ya Tz personally mi huelewa but kuna moja ya Jux inaitwa utaniua atleast hio nilijaribu kuelewa na ben pol moyo mashine lakini chorus hizo part zingine zote ndo naskia.anaimba poa lakini sielewi kitu,alafu mseme ati sisi tunaongeanga ka tumebana pua,,reallyDiamond kama wewe ni mjuzi wa Kiswahili hata wimbo wa Katika amekuwa featured.....alichokiimba anakijua mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ndo maana muna ujuzi,mi si wa kitambi mi ni millenial,ndo maana mi huskiza beat tu haha,ka dem anaeza kata kiuno nayo then hio ngoma iko sawa
Sasa kusema ukweli ukaimbia hii ngoma dem si atakuwa horny hata before muanze[emoji2] [emoji2] hope ww si demGood. Mfano Harmo anaposema
I wish ningekuwaga na mavumba mkwanja manoti, nikuhonge vya thamani
Au niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba, Masanja, Joti usiwe mbali nami.
Najua hapa kawaacha Wakenya wengi hawaelewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha I know.Hakuna kitu tunaelewa kwanza mimi,sijui what the guy is saying nikaa ameongea greek hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha bongo iliwabebaTaste zinatofautiana, muziki wa Congo ndiyo muziki umewahi kuwa maarufu hapa Tanzania kupita miziki ya nchi zingine zote.
Hata tulifikia kuanzisha makundi ya miziki ya dansi (new age) kama Twanga Pepeta, FM Academia, Akudo Impact and the like, ilikuwa ni like copy paste ya Congo na ilipunguza sana nguvu ya muziki wa Congo hapa kwetu, then Bongo Fleva came and killed everything.